Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa sasa.

Uzuri wa haya mafuta bana Hayaishi kwa Haraka, pia hayagandi.

Kwa sasa wanaucheza mwingi sana kutokana na hali halisi ya Ugumu wa Bei ya mafuta ya kupikia ilivyo kwa Sasa.
 
Do! mjini Raha sana
 
Yanakuja ya KUTOSHA kutoka huko ..
 
Haya yanauzwa wapi?
Kwa daslam

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa sasa.

Uzuri wa haya mafuta bana Hayaishi kwa Haraka, pia hayagandi.

Kwa sasa wanaucheza mwingi sana kutokana na hali halisi ya Ugumu wa Bei ya mafuta ya kupikia ilivyo kwa Sasa.
Muda mrefu sanaa..
 
Kitabu chao kimeruhusu kutumia kama kuna emergency! Mfano upo sehemu hamna chakula kingine zaidi ya kitimoto, basi hapo unaruhusiwa kula ili usife na njaa.
Hiyo ndiyo moja ya sababu inayofanya nione kuwa hiyo dini ni ujanja ujanja,

Hivi mfano umwambie mtu kuwa kuzini ni dhambi ila ukishkiwa bastola au umekosa kabisa hela ya kula we zini tu ili ujikomboe kwenye hiyo dharula,yani haipatan na akili,na waache kuita nguruwe haramu wakati hata wao wanatumia inapowanidi,

POVU RUKSA
 
Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa sasa.

Uzuri wa haya mafuta bana Hayaishi kwa Haraka, pia hayagandi.

Kwa sasa wanaucheza mwingi sana kutokana na hali halisi ya Ugumu wa Bei ya mafuta ya kupikia ilivyo kwa Sasa.
Halafu ni mazuri sana kwa kufukuza mapepo na majini
 
Back
Top Bottom