Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,059
Huwa sipendi kuwa na uhusiano na wanawake wasiokuwa na gari. Mara nyingi mkipanga appointment atakuja na Bajaj au Boda boda.

Sasa anakuwa mchafu jasho na nini, mimi huwa sipendi kabisa. Mjitahidi mnunue hata vile vi IST au via Sienta (I mean hivi vigari vya kike vi nusu mkate).

Unakuta unamuita msichana labda aje Highspirit Posta ghorofa ya 10 anakuja na boda boda amejambiana na boda boda akija hapo miguu ina vumbii inabidi akimbie chooni kunawa.

Wanasema ninaringa ila mimi mwanamke asiekuwa na gari kwangu ni mchafu tuu.

===

Naomba Sana, mniwie radhi. Mama zangu, Dada zangu na wanawake wote kwa ujumla. Katika bandiko langu la kuwa "wanawake wasio kuwa na magari wachafu" ( Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu)

Kusema kweli nilighafirika tu kutokana na MTU fulan fulan kunikwaza kwa hali ya juu.

Najuatia kosa langu na haikua nia yangu. Sio kweli wasio kuwa na magari ni wachafu. Natengua kauli yangu.poleni kwa usumbufu.

Asalam aleykhum.
 
Huwa sipendi kuwa na uhusiano na wanawake wasio kuwa na gari .Mara nyingi mkipanga appointment atakuja na bajaj au boda boda.

Sasa anakuwa mchafuu..jasho na nini Mimi huwa sipendi kabisa.

Mjitahidi mnunue Hata vile vi ISt au via sienta(I mean hivi vigari vya kike vi nusu mkate).

Unakuta unamuita dem labda aje highspirit Posta ghorofa ya 10 ..anakuja na boda boda amejambianaa weee na boda boda akija hapo miguu Ina vumbii.. Inabidi akimbie chooni kunawa.

Wanasema sie wahaya tunaringa ila hapana bwana..Mimi mwanamke asiekuwa na gari kwangu ni mchafu tuuu.
Nilivyokusoma mimi....Magari =Usafi...au siyo....Bonge la Mshamba!!!
 
Huwa sipendi kuwa na uhusiano na wanawake wasio kuwa na gari .Mara nyingi mkipanga appointment atakuja na bajaj au boda boda.

Sasa anakuwa mchafuu..jasho na nini Mimi huwa sipendi kabisa.

Mjitahidi mnunue Hata vile vi ISt au via sienta(I mean hivi vigari vya kike vi nusu mkate).

Unakuta unamuita dem labda aje highspirit Posta ghorofa ya 10 ..anakuja na boda boda amejambianaa weee na boda boda akija hapo miguu Ina vumbii.. Inabidi akimbie chooni kunawa.

Wanasema sie wahaya tunaringa ila hapana bwana..Mimi mwanamke asiekuwa na gari kwangu ni mchafu tuuu.
Wewe nadhani "puberty" ndio inayokusumbua.Hiko kipindi huwa kina changamoto nyingi.
 
Back
Top Bottom