Bondia Floyd Mayweather kutua nchini Tanzania akitokea Ghana atakapokwenda baada ya pambano lake dhidi ya McGregor Agosti 26 mwaka huu.
Chanzo: swahili times
===========================...
Serikali imesema kuwa imetumia shilingi Bilioni 85 kupeleka mawasiliano vijijini kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa kuzipatia ruzuku kampuni za simu za mkononi ili kuhakikisha kuwa...
Habarini Wakuu,
Nilikuwa na safari leo asubuh ya kutoka Dar kuelekea Mji Mkuu wa Tanzania yaani Dodoma kwa kutumia shirika la ndege la Air Tanzania. Safari ilikuwa ya kuondoka Dar JNIA saa 6:00AM...
Wenyeviti wenzake wameamua kumchukulia hatua kwa kuwatapeli watu na kuwauzia viwanja vilivyotengwa kwa ajili ya kutunza mazingira kipindi cha mkuu wa mkoa Makamba.
NDIVYO wanavyotania, eti ukitaka kushika wadhifa mkubwa katika Serikali ya Kenya, basi oa mwalimu! Wanadai ndiyo `nyota’ mpya ya madaraka ilikolalia.
Kisa? Kwa kuwa Margaret Kenyatta, mke wa Rais...
Muda mfupi ujao Umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) utazungumza na wanahabari kuhusu hali ya usalama nchini ikiwemo suala la kuvamiwa kwa ofisi za kampuni ya uwakili ya IMMMA Advocates...
Hizi taaluma mbili sheria na uandishi wa habari zilitumika vibaya tangia enzi za Masihi ( Yesu ) ili kumuangamiza, na kwahiyo zimekosa kibali machoni pa Mungu. Kamwe wanasheria na wanahabari...
- Nimejaribu kuliangalia suala hili mpaka inashangaza, watu wengi wako tayari kumeza au kufuata maagizo ya mtu fulani au media fulani.
- Yaani unaweza kukukuta mtu mzima na familia yake anakatazwa...
Ilianza hivi: 5th July 2017
Ali Kiba has been named partner and shareholder to both the Record Label and Management Company Rockstar4000 in addition to the audio and audio-visual content company...
Mda fulani kulikua na malalamiko kua traffic wanapiga sana fine za makosa ya usalama barabarani hadi watu wakifikia hatua ya kuwaita PRA lkn kwa siku za hivi karibuni naona malalamiko hayo hayapo...
Mwanafunzi kutoka shule ya wasichana feza Rahma R Masele ameibuka mshindi kwa kuipeperusha bendela yetu ya Tanzania kwa kushinda kua best junnior debate speaker kwenye mashindano ya world scholars...
Kwa wale wakazi wa Dar kuanzia miaka ya mwishoni mwa `1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990 pale kituo cha polisi Msimbazi kulikuwa na askari mmoja mkakamavu kwelikweli ambaye alikuwa kiboko cha...
Nipo Mwanza kikazi na nimejitahid kuzunguka naona EFM imeteka mji.
Wana miez isiyofika miwili tu lakini mmmmmmh,mawingu jiangalieni watoto wana kasi na hasa naona ni wabunifu sana.
Nawatabiria...
Jijini Arusha Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Jukwaa huru la ubunifu, sayansi na elimu teknolojia maarufu kama TEd- Global talk.
Kwa kuliona hili nikafanya udadisi kidogo kujua...
Over two decades ago, Strive Masiyiwa took the Zimbabwean government to court in a grueling five-year legal battle. Masiyiwa had been planning to launch his own mobile telecoms company, but the...
Nimemuota mchungaji au (pastor) wa kanisa ninalosali akiwa uchi wa mnyama juu ya madhabahu,hii imenitokea zaidi ya Mara tatu,na nimeogopa kumuambia hii ishu,je ina maana gani?
Sent using Jamii...
Na Mgeni wa Jiji
Habari za saa wakuu, kichwa cha habari tajwa hapo juu chahusika. Nikiri wazi kuwa mimi ni miongoni mwa watanzania wasio na elimu ya namna ndege zisizo na rubani zitakavyo sambaza...
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu Abubakar Zuberi anafanya mazungumzo na waumini waliokwama kusafiri kwenda kufanya ibada ya hija Makka, Saudi Arabia.
Waumini hao takriban 100 walikwama kusafiri...
Hii ndio Tanzania
Mtu aliyeajiri watu maelfu na kulipa kodi ya mabilioni anashtakiwa na kulazwa rumande kwa kosa la dawa za kulevya
Chidi Benz na wenzie ambao hawana hata vibanda vya...
Na Mwandishi wetu
Shule 29 za msingi na awali katika Manispaa ya Ubungo zimefungiwa kwa kukosa usajili baada ya ukaguzi unaoendelea wa kukagua shule zote katika Manispaa hiyo .
Afisa Habari wa...