DAWASCO mmetusahau kutuwekea mabomba ya maji safi Mabwepande

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
268
163
Ndugu wa DAWASCO

Wanachi wa Mbwepande na Bunju B, bado tuna kilio kikuu cha maji safi ya bomba.

Wiki mbili kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa na watendaji wa mkoa wa Dar, nilisikia Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO Luhemeja akizungumzia juu ya kero za maji zimepungua kwa asilimia kunbwa sana.

Sasa nawauliza ndugu zangu wa DAWASCO ni lini mtatuwekea na kusambaza mabomba kwenye eneo letu, ni linio mamtua mwanamke ndoo ya maji na yeye akapumzika.

Kiukweli tunateseka sana sana na kero hii ya Maji tunakuomba Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar Mh Paul Makonda uje huku Mabwepande uone jinsi wakina mama na watoto wanavyohangaika na ndoo na madumu kutafuta maji, nadhani hata Sudani ya Kusini sehemu iliyo jangwa wana afadhali.
 
Back
Top Bottom