Bukoba: Bomoa bomoa yaanza katika barabara ya Uganda

Bukoba: Bomoa bomoa yaanza katika barabara ya Uganda

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Pole sana Bukoba,nasikia na nyinyi mnaitaji kusemewa na Makonda siyo?
----------
Bomoa hiyo iliyoyakumba baadhi ya majumba ya baiashara ikiwemo nyumba za kulala wageni, inasimamiwa na meneja wa TANROADS mkoani Kagera Mhandis Andrew Kasamwa,
KASAMWA-640x400.jpg


SAM_0094.jpg


Picha zaidi na chanzo =>>BOMOA BOMOA YATIKISA BUKOBA MUDA HUU,NYUMBA ZILIOPO KATIKA BARABARAYA UGANDA – Toptalk News
 
bomoa bomoa nchi nzima
Wakumbuke na kutoa fidia si kubomoa kwa kasi tu
 
Ohooo hakuna aliye salama kwenye bomoabomoa hii inayoendelea,usiombe upitiwe na hii bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom