Hio siyo kile sakramenti ya Kanisa Katoliki,, huo ni urembo uliotengenezwa kama alama ya kujumlisha!! Hivyo mdau wala usihofu. Ungekuwa na umbo la mwili wa Yesu akiwa ametundikwa msalabani hapo ungehoji,,lakini sasa kwa vile ni ile ya kishetani shaka ondoa!!