Wakuu nimekutana na hii video whatsapp ambapo mkuu wa mkoa wa mtwara kaamuru kukamatwa kwa mwenyekiti kwa kosa la kulewa,
wataalam wa sheria mnijuze kuna sheria inayozuia mtu asilewe kwenye...
Morning,
Napenda niende straight kwenye tatizo
Mimi nilala mwenyewe (self contained room) ambacho kwa sasa kipo kwenye marekebisho kadhaa so kipo wazi tatizo leo ni mara ya pili hichi kitu...
Wajumbe habarini za jioni? Katika shughuli zangu za kila siku nalazimika kufanya booking ya mikutano na Managers, CEO, CFO, MD's wa makampuni na mashirika mbali mbali.
Jambo la ajabu nikwamba...
Tafadhari rejea kichwa cha habari hao juu,,,,,,
Sisi watumishi wa kada ya afya tunao lipwa mishahara na wizara ya afya,
Yapata miezi mitano sasa, tunafanya kazi bila mishahara,
Kupitia jukwaa...
Bila shaka mtakua wazima wa afya wana JF!
Leo nimeona ni vizuri kushea stori ambayo kwa kiasi fulani ni maarufu na ya kushangaza kidogo ijulikanayo kama "mti na baskeli" kama ulikua huijui basi...
hello wanajamii,
Nadhani mkuu wa mkoa wetu, anajitahidi kwa kuwa na maono ya jinsi Dar yetu iweje,
Mie naona,kitu anachokikosa ni ufundi/technicality pamoja na Finances
tusaidiane kumpa...
Serikali umezindua issue ya card za matibabu ya wazee wakati hata issue ya vitambulisho vya taifa haijaisha.Hospital zenyewe hazina madawa sasa hao wazee sijui matibabu watapata vipi.Acheni...
Ninaandika hili kuchangia mawazo kwa mamlaka husika kwani kama hamna taarifa mfahamu kuwa hii ya kulala njiani kwa abiria katika safari za mikoani kuhusisha Dar ni kero kubwa sana na inasababisha...
Baadhi ya waliobomolewa nyumba zao ili kupisha upanuzi wa barabara jijini Dar Es Salaam chini ya mradi wa DMDP wameanza kulipwa fidia zao hivi leo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya serikali...
*TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WALIOOMBA MKOPO TANZANIA 2017/2018*
Mtandao wa Wanafunzi Tanzania, (TSNP), unapenda kuwajulisha wanafunzi wote walioomba mikopo ya kuwa, tunakusanya maoni juu ya...
Zifuatazo ni sifa za Mtu aliye Elimika
Haogopi
Anajiamini
Hayumbishwi
Kuuwawa Kwake ni sehemu ya Uzalendo wake kwa nchi aliyopo
Ana maamuzi ya mwisho na ya Kishujaa
Msikivu na makini mbele ya...
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Rose Kamili ameibana Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu kwa kuhifadhi vifaa muhimu vya matibabu katika bohari ambayo haina vigezo vinavyotakiwa ikiwemo...
Wakuu Nawasalimu
Sisi wakulima wa Songea tumemkosea nini Raisi ? Mwaka jana tulilima zao la mbaazi kwani msimu ule tuliuza kwa shilingi 2000 leo hii tunazunguka nazo tu hata aliekua ananunua...
wana JF,
Katika kazi ngumu ambayo mfanyabiashara anakutana nayo ni vikwazo vya kodi za awali kutoka TRA, mamlaka ya kodi imeandaa kodi za miezi mitatu mitatu ndipo upeleke kodi, ikitokea wewe...
Mtu anapokuwa ameoa au kuolewa; maana yake ameamua kutulia na mpenzi wake kihalali; lakini kutokana na tamaa, uaminifu katika ndoa limekuwa swala gumu sana;
Swali; Je, utafanyaje ikitokea Katika...
Wakuu
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini nimekosa majibu.
Mbona watoto wa JPM hawajulikani kulinganisha na watoto wa JK
Sote tunakumbuka jinsi ambavyo watoto wa JK hasa mh...
Polisi Mkoani Geita wanamshikilia kijana Samson Petro (18) mkazi wa Katoro wilayani Geita mkoani hapa Kwa tuhuma za kuteka watoto katika mikoa ya Arusha na Geita
Kijana huyo amekamatwa usiku wa...
ALLY BADI- LINDI
BAADHI ya wanaume wa Kata ya Kilolambwani wilayani Lindi wamelalamika kuteswa na wake zao kwa kuwashurutisha kufanya kazi kinyume na imani za dini.
Wakizungumza kwa niaba...
KAIMU Mkuu wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Dk Halfani Haule ametaka makaburi yote walipozikwa watu wenye ulemavu wa ngozi yajengwe vizuri na taarifa muhimu za marehemu ziandikwe vizuri kwenye...