Hawa wachungaji na maaskofu wa siku hizi ni ajabu sana.Sasa mchungaji kama huyu anaenda na sadaka za waumini wake Marekani halafu anaanza kuwatambishia mitandaoni namna anavyokula maisha huko USA...
Jumla wanafunzi 917,072 wa darasa la saba, Leo Septemba 5-6 wameanza mtihani wa Taifa wa kuhitimu elimu ya msingi.
Tunawatakia kila kheri wadogo zetu katika mitihani huo Mungu awatangulie.
Tupia...
Mamlaka ya Banadari (TPA) imesema ipo kwenye kushughulikia kununua vipima mafuta (Flowmeter) kwa ajili ya matumizi kwenye bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara
Wakuu,
Hivi humu jukwaani kuna wachungaji wa kikristo kwa ajili ya kuwalea wana JF kiroho?
Kuna muda ninahisi kwa hali ilivyo humu hasa nikiangalia michango ya wana JF ,kabisa naona malezi ya...
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda Lazaro Mambosasa kuhakikisha kanda yake inatokomeza ukatili wa kijinsia kwa...
Wana JF
Nimeshtushwa na habari zilizopo gazeti la gurdian la Leo tarehe 19/11/2014, kwamba kuna nyumba zaidi ya 50,000 zitabomolewa na serikali mwezi ujao ili kupisha mradi wa uendelezaji wa...
MAANDALIZI ya Kongamano la kwanza la Kiswahili la kimataifa, lililoandaliwa na Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki, yamekamilika na linatarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia kesho mjini...
Tangu ameingia madarakani rais Magufuli amekuwa akijinasibu kuwa yeye ni rais wa wanyonge, kauli hii imekuwa ikinishangaza sana, hivi rais Magufuli ni rais wa wanyonge wapi? Tangu ameingia...
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Emmanuel Songoye, ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi katika kijiji cha Kabanga, wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
Katika tukio ambalo pia wameteketeza kwa...
Wapendwa wanajamii,
Mimi nimekuwa ni mteja wa CRDB Bank kwa miaka si chini ya 12. Mwanzoni nilijivunia kuwa mteja wa CRDB kwa jinsi walivyokuwa wakiboresha huduma kila mara. Lakini kwa sasa CRDB...
Kichwa cha habari chahusika
Wadau naomba mnitajie radio zinazorusha matangazo ya Bunge live na Frequency zake nipo huku Kolomije ila baadae ntarudi mwanza town
Nisaidieni!
Asanteni sana
Salaam wanaJf
Mimi sio mkazi sana wa Mbogwe ila mke wangu alihamishiwa kikazi huko, hivo ni mwenyeji kiasi kikubwa.
Kati ya wilaya zenye kasi ya maendeleo hauwezi kuzitaja halafu ukaacha kuitaja...
..habari ndugu zangu,nimepata nafasi ya kuwa afisa tarafa katika mkoa fulan lkn sasa nafanya kazi katika benk flan km afisa mikopo,naomben ushauri wenu kwan nafikiri lkn sipati jibu sahii km...
Kwako ndugu yangu, Muhingo Rweyemamu.
Salaam sana, natumaini kwa neema za Mungu unaendelea vyema, japo kupitia kwa wenzangu kwenye mtandao wa wahariri Tanzania yaani TEF nimefahamishwa kuwa...
Habari wanajamvi?
Mi ninasikitishwa sana na mwenendo wa kituo chetu cha Taifa TBC1 haswa kuhusuana na suala la michezo.
Mi nimeshuhudia mara kadha kituo cha Taifa cha Msumbiji kikionesha kila...
Mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro, Aizak Mgavao aliyekamatwa kwa kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya mirungi ameachiliwa huru leo Jumatatu na Mahakama Kuu ya Moshi baada ya upande wa...