Kwanini watanzania wengi wako instagram na sio twitter?

Kwanini watanzania wengi wako instagram na sio twitter?

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,432
Reaction score
4,783
Je, tunaongea sana?
Je, tunapenda mapicha?
Je, tunapenda sana udaku na umbea?
Je, tuna akili ndogo na hatuwezi toa mawazo yetu katika character 140?
4df08b96e32d57c97da7bf5685968af2.jpg
 
Tweter ni mwendo wa Fact na ku tweer na kula corner.. Walio jiunga Tweter ni watu wanaojielewa na wasomi HGT


Wanawake walio jiunga Istagram akili zao ni kama za Wema Setepu

Na wanaume wenye a/c Instagram akili zao ni kama za Jams Delisious.... Watu disaini hii huwezi kuwakuta tweter...
 
tuna uhaba wa madawati shuleni,mishahara finyu alaf wewe unauliza hayo.anyway wako huko sababu wanapapenda
 
watanzania tunapenda kuongea na uongo sana..twitter kwanza mwisho character 140 ambazo kwa mbongo anaejua kiswahili tu hazimtosh kuandika kitu cha maana
 
Tweter ni mwendo wa Fact na ku tweer na kula corner.. Walio jiunga Tweter ni watu wanaojielewa na wasomi HGT


Wanawake walio jiunga Istagram akili zao ni kama za Wema Setepu

Na wanaume wenye a/c Instagram akili zao ni kama za Jams Delisious.... Watu disaini hii huwezi kuwakuta tweter...

Una tabia ya kujifanya unayajuaaaa ila leo nakuambia tulia ujibadili na pia unaonyesha hujui mengi na hata faida zake ambazo ni nyingi..
Nimeona umesha saidiwa maneno.
 
Kama unatumia insta kwa ajili ya biashara zako halali basi Hongera ila kama ni kwa ajil ya kuangalizia picha na kupost picha,kufuatilia udaku,kuigizia maisha ni hatari sana kwa maendeleo.

Philips X2560
 
Akili za watanzania ni ndogo sana na wengi hasa Vijana akili zao ni za kuvukia barabara tu twitter kule sio kwa kila mtu kama hauko smart hapakufai waache wabaki insta na dada zao washindane kupost Mapaja na kulike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una tabia ya kujifanya unayajuaaaa ila leo nakuambia tulia ujibadili na pia unaonyesha hujui mengi na hata faida zake ambazo ni nyingi..
Nimeona umesha saidiwa maneno.
Sijakuelewa my just translate in another language..... Umetumia swahili ngumu sana
 
Mimi zote sipo, Twitter nilifungua account zamani nikaiacha, niliona haipo user friendly, instagram nilifungua pia nikaiacha niliona ina upuuzi mwingi sana

Mitandao yangu ni facebook hii nime like pages tu za habari ninazopenda kuzifuatilia na marafiki wachache

Youtube hii unapata kila kitu duniani kwa video kuanzia habari, muziki, michezo, movie clips za favorite movies, video elimu mbalimbali kuanzia finance, kilimo, teknolojia na mengine, sio lazima niwe na TV...

Youtube ndio mtandao wangu bora kuliko yote so far...Youtube ukiipenda video unaweza kui like for future reference,video kuhusu subject flani unaweza kuziweka kama playlist, unapata pia recommended videos wakiona unapenda aina flani za video na mengine mengi, sema price yake uwe na intanet ya uhakika

Jamiiforums napenda mijadala ya hapa.... ni kipaza sauti cha kila mtu
 
Tweter ni mwendo wa Fact na ku tweer na kula corner.. Walio jiunga Tweter ni watu wanaojielewa na wasomi HGT


Wanawake walio jiunga Istagram akili zao ni kama za Wema Setepu

Na wanaume wenye a/c Instagram akili zao ni kama za Jams Delisious.... Watu disaini hii huwezi kuwakuta tweter...
Kumbuka Jamii forum pia ina account Insta.

.
 
Ukweli hatupendi kuusikia ila ndio huo unauma ila ndio uhalisia.

Hata ww akili huna mwenye akili na busara huwez tukana na kuandika ujinga mitandaoni ndo maana twitter hampawez shinden Instagram,FB na snapchat shindaneni na dada zenu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli hatupendi kuusikia ila ndio huo unauma ila ndio uhalisia.

Hata ww akili huna mwenye akili na busara huwez tukana na kuandika ujinga mitandaoni ndo maana twitter hampawez shinden Instagram,FB na snapchat shindaneni na dada zenu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
nilitaka nawewe ujiskie vibaya kwa kukashifu watu kiujumla,huwezisema vijana wengi wanaakili za kuvukia barabara...jf imetapakaa dunia nzima wengine watadharaulika huko nje ya nchi kwa maneno yenu haya ya hovyo yanayozidi kuenea! Inabidi tuwakemee kihuni kwakuwa maneno yenu ni ya kihuni pia
 
Back
Top Bottom