Tofauti ya maisha ya Tabora na Dar es Salaam

Dar kuna foleni Tabora hamna foleni, Dar kuna majambazi na vibak Tabora hamna, Dar kuna machangudoa Tabora hamna, Dar kuna matapeli Tabora hamna, mengine wataongezea wengine
 
Dar ni jiji la uchumi wa viwanda wakati Tabora ni mji wa walima tumbaku,
Dar unaweza kugongwa na gari na Pikipiki wakati Tabora naweza kugongwa na baiskeli na Pikipiki,
Dar ni jiji la kuishi kwa akili sana kuliko Tabora vijana wanaishi kwa kunywa gahawa na ni mji wa kimwinyi,
Dar ni jiji lililojaa raia wengi wa nje kama wazungu,wachina,wahindi ni wakati Tabora ni mji uliojaa waarabu koko na wachina wachafu,
Ni hayo tu
 
Tabora kifupi mji ni kama umedumaa hivi, maisha yamekaa kiuswazi uswazi sana, mzunguko wa pesa hakuna ila maisha ni nafuu kutokana na wengi kuwa masikini.
Hali ya hewa ni kiubaridi fulani hivi kama cha Dodoma yaani kikavu kinapenya mpaka ndani.

Totozi nyingi za kufa mtu si unajua wanyamwezi tena na hivi vimichezo wanavyoendekeza.
Watu wake wengi wavivu ila wastaarabu , starehe classic sio sana wakati naondoka kulikua na kumbi mbili tatu za starehe kama bubbles night club na Royal club, zaidi ya hapo ni vigodoro kwa kwenda mbele hakunaga cha weekend wala weekenda.

Kifupi ni mji uliodumaa kimaendeleo japo mkongwe, kama umekulia Manzese au Tandale utakua unanielewa.
 
Bro, umefika Manzese karibuni? Pitia pale Tip Top Kuna majengo hata Masaki hakuna mzunguko wa fedha na biashara huwezi fananisha na mji wa Aden Rage
 
Dar kuna foleni Tabora hamna foleni, Dar kuna majambazi na vibak Tabora hamna, Dar kuna machangudoa Tabora hamna, Dar kuna matapeli Tabora hamna, mengine wataongezea wengine
Kwa upande wa machangudoa huijui vizuri tabora. Fanya tena utafiti wako. Kwa kukuibia tuu wapo wa viwango tena bei chee na ni wengi kuliko dar
 
Dar men discuss celebs life while mboka manyema engages in tobacco cultivation n roll ganjaz!
 
Back
Top Bottom