Msaada; afisa tarafa na afisa mikopo,naombeni ushauri wadau

Msaada; afisa tarafa na afisa mikopo,naombeni ushauri wadau

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
..habari ndugu zangu,nimepata nafasi ya kuwa afisa tarafa katika mkoa fulan lkn sasa nafanya kazi katika benk flan km afisa mikopo,naomben ushauri wenu kwan nafikiri lkn sipati jibu sahii km niresign kisha nikawe afisa tarafa au la..
 
Back
Top Bottom