Mie nasikitika sana na Tanzania yangu kila kukicha nikisikiliza mambo mengi yalitokea huko nyuma na yanayotokea kila siku inafika mahali huoni tofauti kati ya Wasomi Viongozi na watanzania wa...
Israeli siku zote habipiwi na ukimbipu tu anapiga hapo hapo.
Nasisitiza tena kwamba " hakuna kitu kizuri duniani kama kusikia ushauri kutoka hata kwa wale ambao unawadharau ".
Maisha ni 50 / 50...
Za jioni wakuu,
Wananchi wakishuhudia zoezi la uopoaji wa miili ya watoto wawili
Wale watoto Ikram na Maureen waliokuwa wametekwa wamepatikana katika shimo la choo ambalo bado halijaanza...
Kampuni ya Acacia imesema ina matumaini kuwa mazungumzo baina yake na Serikali kuhusu kuzuiwa kusafirisha mchanga wa madini nje, yatafikia suluhisho, lakini imetangaza kupunguza uchimbaji madini...
Rais Magufuli amenikuna leo kwa kulitamka hili "tujiulize kama taifa tumekosea wapi" Hebu watanzania tumsaidie Rais wetu kumwambia wapi tulikosea.
Mimi naanza mchango wangu kwa kumwambia kuwa...
JAMANI MJITAHIDI KUITAZAMA AZAM TWO MUDA WA TAARIFA YA HABARI. HAWA JAMAA WAKO VIZURI SANA. WANACHAMBUA HABARI VIZURI SANA NA WATANGAZAJI WAO NI MAHIRI MNO.
AGHALABU HUWALETA WATU WENYE UJUZI...
Naona tunazidi kuchanja mbuga kuelekea bondeni vichakani! Leo nimetishiwa live kwenye mjadala wala ambao haukuwa na msisimko wowote
Huyu ndugu kwenye huo mjadala reply ya ya kwanza akamalizia na...
Drone ilipaishwa urefu usiokawaida na kujikuta ipo foot 100 karibu na Ndege hiyo iliyokuwa imebeba abiria.
Wataalamu wa Mambo ya usafiri wa anga Uingereza wameliingiza kwenye listi ya viashiria...
Hakika Watanzania sasa tunasomeshwa namba na nashangaa wale wanaounga mkono kila kinachofanywa na serikali. Kufikia mwaka jana ili vijana wetu wasome vyuo vikuu maombi yalikuwa yanafanywa sehemu...
Wengi wetu tulidhani JPM anatania!La hasha,hakika amedhamilia.
Hatimae wazoefu wa fitina za bandarini wameanza kunyooka!Tulizoea kampuni kubwa km GSM lori zake zilikuwa hazikosi mizigo ya...
Naomba kutoa rai kwa serikali ya awamu ya tano, kwa sababu rasilimali ni za kwetu. Basi waamue kufungua migodi yao yenyewe ya dhahabu, almasi na tanzanite na madini mengine.
Inajulikana biashara...
Kamanda wa Polisi Mkoani Rukwa. RPC G. Kyando amethibitisha kushikiliwa kwa watu wanne kwa tuhuma za kukamatwa na meno ya Tembo yanayokadiliwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 67...
Mbona hawa wafuatao huwa hamuwasahau?
Fahmi Dovutwa
Ibrahim Lipumba
John Cheyo
Joseph Butiku
Viongoizi wa Dini
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wanafunzi wa...
Wakuu natanguliza salamu .
Naomba kukiri kwamba mimi ni mnunuzi wa dawa katika maduka ya Dawa ya Tanzania , hata hivyo sijaridhishwa na namna baraza hili linavyosimamia maduka haya.
Ikumbukwe...
Serikali ya Zanzibar imekanusha kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad kwamba kuna mkakati maalumu unaowahusisha waganga wa kienyeji kutoka Nigeria, Sumbawanga, Pemba...
Wakuu leo nimepanda basi la BM kutoka Moro kuja dar, wamekuja na mpya ndani ya basi moja nauli mbili tofauti kuna viti vinne vya mbele wanaiita VIP nauli shs 10,000/=vinavyofuata nyuma ni bei ya...
Ndugu zangu na watanzania wenzangu napendwa kutoa masikitiko na kero yangu kwa Serikali kutokana na unyama tunaofanyiwa na makampuni ya ving'amuzi. Kwanza ni pale Kifurushi kinapoisha wanakata...
Aisee... Endeleeni hivihivi..
Nimewafuatilia kwa muda na kuwapima..
Naona Mnarejea zile ezi... When you were unstoppable....
Hii collection mnayoicheza sasa inanirudisha sometimes back...
Habari samahan naomba kupata link ambayo imezungumzia ripoti za mchanga wa madini ( makinikia ) ile ya Prof mruma na osoro.
Nimejitahid kutafuta hapa sion kila niki search inakoma
Nahitaji...