Kosa moja ambalo lingeweza kupoteza mwelekeo wa mazungumzo yanayoendelea hivi sasa dhidi ya accasia na Tanzania lilikuwa lifanyike, lkn Magufuli kwa kasi ya ajabu akajifuta.
Wazungu pamoja na...
Timu ya madaktari waliookoa uhai wa Mh. Tundu Lissu kwa huduma ya dharura Dodoma General Hospital wakiwa chini ya Dr. Mpoki (katibu mkuu W/ Afya) Dr. Mponda (Orthopaedic) Dr. Samuel...
Kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu;
1. Kutekwa kwa Roma mkatoliki
2. Kutolewa bastola hadharani kwa Nape Nnauye
3. Kushambuliwa na risasi kwa Tundu Lisu.
Jambo...
September 8, 2017
Tahariri: Serikali Isiache Ihusishwe na Jaribio la Mauaji ya Lissu; Ijisafishe!
ShareTweetPinMail
Share this on WhatsApp
Na. M. M. Mwanakijiji
Haijalishi nani amefanya...
Ni takribani miaka miwili sasa siasa za Tanzania zimebadirika mno labda kwa namna ambayo pengine mtu usingeweza fikiri itakuwa kama ilivyo leo na pengine pia ndo mabadiriko yanayoonekana...
1: Walimuuwa Alphonce Mawazo (Chadema) kwa mapanga mchana kweupe.
2: Walimteka mwanamuziki Roma mkatoliki anayefanya harakati za kuikosoa serikali kupitia nyimbo zake na kumtesa kwa siku kadhaa...
leo gazeti la mwananchi limeripot kuwa mkuu wa mkoa wa mtwara mama Halima Dendego amesema alitarajia mkoa huo kuwa wa mwisho kitaifa kwenye matokeo yaliyotangazwa juzi na baraza la mitihani taifa...
Taarifa kwa watanzania wanao tumia route hiyo madereva wamegoma kwa kile kinachodaiwa kulazimishwa nauli ya miatano badala ya mia sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wengi siku hizi hujikuta wakipandikizwa mawazo kwamba mafanikio hayaji bila mtu kufanya aina fulani ya kazi. Wahubiri wa mawazo haya wanapima tija na heshima ya kazi kwa mizani ya kipato...
Nimejaribu kufuatilia kwa kina taarifa za kamati zote mbili za uchunhuzi wa mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje na kampuni ya ACACIA, Binafsi ninaona kama zina ukweli lakini napata shida...
Mitihani ya darasa la saba ilifanyika nchi nzima juzi na jana.
Lakini mdogo wa Mbalu, Keneja Madirisha (8) ambaye alikuwa darasa la pili katika shule hiyo, pia alifariki dunia usiku wa kuamkia...
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!
Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au...
Mheshimiwa Waziri pole na shughuli zako za kazi na hongera sana kwa kazi yako nzuri ya kuwahudumia wananchi.Naomba awali ya yote kuitambua kazi yako nzuri ya kutwaa mashamba yasiyoendelezwa, ili...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHJF), Anne Makinda (katikati), akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Kairuki Hospitali, Kokushubila Kairuki (kushoto), wakati wa uzinduzi wa...
Habari zenu wadau kwa sasa nipo mkoani kigoma nipo mji unaoitwa UJIJI .
Moja kati ya vitu nilivyojifunza huku ya kwamba UJIJI ni mmoja kati ya miji ya zamani sana lakini pia kitu nilichoweza...
Inasikitisha kuwa viongozi wa dini wakisemwa tu, mnafuta uzi harakaharaka. Wao ni watu wana wajibu wa kukemea haya yanayoendelea. Wacha nao wakumbushwe wajibu wao. Wanasahau kuwa Askofu Janan...
Wakati Mtuhumiwa wa matukio ya utekaji watoto, Samsom Petro (18), ambaye jana alifikishwa Arusha kwa ajili ya kuonyesha sehemu alipowaficha watoto, amebainika kuwa anaishi na kaka yake ambaye ni...
Jeshi la Polisi linamshikilia mwalimu mmoja wa S/Msingi Ng'ingula kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumchapa viboko.
=======
JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia...
Comrades Salaam.
Jana tumeanza majadiliano juu ya nia ya mwajiri ya kupunguza shughuli za uchimbaji wa madini katika mgodi wa Bulyanhulu.
Katika hotuba ya kufungua mjadala huo, Meneja Mkuu wa...