Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mchanganuo ukoje kwa Basi na kwa treni nauli inagharimu kiasi gani? Kwa basi tu inachukua muda gani na treni muda gani? Asanteni. Sent using Jamii...
0 Reactions
31 Replies
15K Views
Evarist Chahali, Afisa usalama wa taifa mstaafu Wahusika Kina Nani ?: Jana, Septemba 07, 2017, majira ya mchana, zilipatikana taarifa kwamba Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Mbunge wa...
19 Reactions
53 Replies
9K Views
Jana nilifanya matembez katika vijiji kadhaa (w) Newala ila sasa nimekuta kuna vijiji watu wanauza viwanja bei rahisi sasa wasi wasi wangu ni 1>viwanja vile havijapimwa so kama nikinunua serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau amani iwe nanyi, Poleni sana kwa tukio la mpendwa ndugu yetu Tundu Lissu, kwa hakika ni tukio la kulaaniwa si tu na binadam aliyekamili bali hata kwa wanyama na mimea pia vyafaa vilaani...
3 Reactions
59 Replies
7K Views
Jumapili hii Tarehe 10/09/2017 Nitaongoza Maombi maalumu ya kuombea Afya ya Mhe. Tundu Lissu na kulaani Vikali kitendo cha Kikatili na Kinyama alichofanyiwa. Maombi haya yatafanyika katika Kanisa...
3 Reactions
34 Replies
11K Views
Màtukio yanayoendelea ndani ya nchi ni hatari mno kwetu RAIA wa Tanzania,watu tusiwaze lolote kama wahusika wapo nà mpaka leo hawajatoa kauli yoyote ya maana. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Habari wanabodi Msifikiri kwamba sisi watanzania tunatofautiana Na nchi nyingine, yanayotokea huko yalianza kidogo kidogo lakini waliyapuuza. Lakini, ukimya wa viongozi wa dini ni ishara tosha...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwakua kumekua na ukakasi kuhusu wahusika waliompiga Lissu risasi, Tunaweza kutumia nguvu za giza kuwatambua kiurahisi. Africa kuna waganga wa jadi wakubwa mno wenye uwezo mkubwa mno...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimetembelea maeneo mengi ya public mfano mabenki,vyoo vya kulipia,ofisi kubwa za serikali,vyuoni utawala,Mara nyingi kila nikiingia najikuta alama ya suruali[emoji158] IPO mkono wa kushoto na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna Watu fulani / Taasisi moja hivi kuanzia wiki iliyopita walianza kuzunguka nchini wakihubiri dhana nzima ya ' Fursa ' huku kila mara wakikazana kuwaeleza ' waalikwa ' kuwa Wao wenyewe...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Baada ya shambulio la Tundu Lissu tumekuwa tunatoa mada tofauti kutokana na tukio lenyewe na taarifa za Viongozi wa Serikali,vyama vya Siasa na mashirika na Taasisi mbalimbali za ndani na nchi ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wachimbaji wawili wa dhahabu katika mgodi wa Sekenke One kitalu namba moja wilayani Iramba wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na udongo. Mgodi huo katika Kijiji cha Konkilangi kata ya Nwike tarafa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tofauti na mahakamani ambapo ukikiri Kosa utahukumiwa na kutumikia adhabu, Kwa Mungu tunasamehewa. Kwa wakristo wengi maana nyingine badala ya kupata ile adhabu, adhabu ameshaichukua yesu kwa...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Nampongeza kwa ununuzi wa ndege mpya nzuri ambayo kwa mujibu wake anasema itamsaidia kwenye kueneza Injili... Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna...
5 Reactions
61 Replies
12K Views
Moto umezuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali. Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai moto huo ulianza...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hivi simbachawene na ngonyani wamehusishwa vipi na saga LA madini ilhali ni wanasiasa tu na si wataalam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Aliyetoa taarifa ya kutoroshwa kwa madini ya almasi.Serikali yetu impongeze Hata kumjengea nyumba ya 300m kwa kuwa mzalendo.MIE ni mawazo yangu na sijasukumwa na mtu
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Unakaa bar anapita dem mkali sasa subiri akusogelee..utafikiri katoto na paka kamefia kichwani mwake na kamechina kana nukaa. Weaving linanuka ka dampo??hivi hata ile spray..movic ya buku 7...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Wanajukwaa wenzangu ningewaomba tujumuike kulikadili hili swala ambalo linaumiza kichwa watu wengi saana,hususan mimi hapa binafsi. Kila leo hua najiuliza HIVI NA MUONGO KATI YA MWANAUME au...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu kwa wachaga kuna huu utamaduni wa kuweka jiwe nyumbani Huu utamaduni upo meru, siha,machame, kibosho,old moshi, uru, marangu, kilema,kirua vunjo,kilema, mpaka rombo Unakuta nyumba ina jiwe...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…