Matembezi ya hisani kwa ajili ya Wanyamapori

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,557
Wakati tasnia ya habari ikiwa na jukumu la kuhabarisha wananchi juu ya mambo mbalimbali ya Kitaifa, kijamii nk, taasisi mbalimbali zikiwemo za wanahabari zimekuwa na makusudi mbalimbali ili kudhihilisha kuwa jamii inanufaika na tasnia husika.

Kutokana na hilo, shirika la waandishi wa habari za wanyamapoli na urithi wa asili JFW-NH linawakaribisha wananchi na wadau mbalimbali kutoka tasnia mbalimbali kuhudhulia matembezi ya hisani yatakayofanyika siku ya jumapili kuanzia saa 12:30 kuanzia viwanja vya Mnazi mmoja kuelekea viwanja vya Karimjee.

Katika matembezi hayo mgeni rasmi atakuwa Mh. Makamu wa Rais (mstaafu) Dr. Mohamed Gharib Bilal.

KAULI MBIU: Say No To Poaching.
 
Mwambie "Mukubwa" arudishe fedha za TANAPA na NCCA alizonunulia mapanga boi zifanyanye kazi ya utalii na uhifadhi siyo kuchangisha watu hovyo
 
Wabongo habari kama hizi zenye manufaa kwa taifa hawataki hat kuzisikia. Halafu wanataka kuitwa wazalendo!
Hongera Mleta mada kwa taarifa hii njema.
 
Mkuu nakukaribisha uungane nasi na endapo utakuja mtafute huyu jamaa atakupa T-shirt +255 773 036 064
 
Asa
Wakati tasnia ya habari ikiwa na jukumu la kuhabarisha wananchi juu ya mambo mbalimbali ya Kitaifa, kijamii nk, taasisi mbalimbali zikiwemo za wanahabari zimekuwa na makusudi mbalimbali ili kudhihilisha kuwa jamii inanufaika na tasnia husika.

Kutokana na hilo, shirika la waandishi wa habari za wanyamapoli na urithi wa asili JFW-NH linawakaribisha wananchi na wadau mbalimbali kutoka tasnia mbalimbali kuhudhulia matembezi ya hisani yatakayofanyika siku ya jumapili kuanzia saa 12:30 kuanzia viwanja vya Mnazi mmoja kuelekea viwanja vya Karimjee.

Katika matembezi hayo mgeni rasmi atakuwa Mh. Makamu wa Rais (mstaafu) Dr. Mohamed Gharib Bilal.

KAULI MBIU: Say No To Poaching.
Asante mkuu kwa taarifa, bahati mbaya niko nje ya Dar vinginevyo ningehudhuria.
SAY NO TO POACHING
 
Real Deal
Hakika mkuu Mungu ameweka wepesi yalifanyika mujarabu nadhani kama ulikuwa kwenye tv yako jana muda wa habari uliona.

SAY NO TO POACHING.
 
Attachments

  • IMG_20170911_101818_306.jpg
    IMG_20170911_101818_306.jpg
    63.2 KB · Views: 30
Back
Top Bottom