Salio kupungua CRDB

Salio kupungua CRDB

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
Nimetoka kutoa pesa sasa hivi crdb ila Salio langu limepungua Sana.
Kutoka milioni 4 hadi laki moja na kitu.,,, Nimejaribu kupiga namba zao hawapatikani na ofisi zilishafungwa.,

Je hili ni tatzo la mtandao ama ndo ivo ela imeshaibiwa? , kwa anayejua utaratibu wa kufuata naombeni pia anifahamishe
 
Hata hujasema umetoa kiasi gani! Lakini ninachojua kama kuna makosa yamefanyika watarudisha ndani ya saa 24 katika siku za kazi.
 
Kama hujatumia usiwe na shaka. Watembelee siku ya kazi upate uhakika. Usikute shemela kafanya yake kwa kutumia kadi.
 
Nimeongea na Huduma kwa Wateja wananiambia kuna mtu alienda akachukua fedha jumatatu zaidi ya milioni 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izi kampuni za kitanzania zitaacha lini? Ubabaishaji mpaka mnawafundisha wazungu na wachina na wahindi wanaokuja apa Tanzania na wenyewe kuwa wababaishaji nao pia.
 
Nimetoka kutoa pesa sasa hivi crdb ila Salio langu limepungua Sana .... Toka milioni 4 hadi laki moja na kitu.,,, nimejaribu kupiga namba zao hawapatikani na ofisi zilishafungwa., Je hili ni tatzo la mtandao ama ndo ivo ela imeshaibiwa? , kwa anayejua utaratibu wa kufuata naombeni pia anifaamishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshaibiwa ghafla haraka toa taarifa kwenye matawi wanayofungua jp piga sim usichoke umeibiw nasisitiza.
Ukifika j3 ukakuta pesa juwa mwizi kazirudish hivyo omba statiment
 
Usikute shemela kafanya yake kwa kutumia kadi.
Hili linaweza kutokea pia. Kuna jamaa aliwamind sana benki kwa tatizo kama hilio. Walipoamua kucheck kwenye security camera akaonekana shemela ilibidi aombe radhi kwa meneja yaishe.
 
Usihofu mkuu, hiyo tuliyoikata ni lile deni la kikoba, mwezi ujao tutakata pia.
 
Hili linaweza kutokea pia. Kuna jamaa aliwamind sana benki kwa tatizo kama hilio. Walipoamua kucheck kwenye security camera akaonekana shemela ilibidi aombe radhi kwa meneja yaishe.
Aiseee hawa akina shemela sina hamu nao daaah
 
Nimetoka kutoa pesa sasa hivi crdb ila Salio langu limepungua Sana .... Toka milioni 4 hadi laki moja na kitu.,,, nimejaribu kupiga namba zao hawapatikani na ofisi zilishafungwa., Je hili ni tatzo la mtandao ama ndo ivo ela imeshaibiwa? , kwa anayejua utaratibu wa kufuata naombeni pia anifaamishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku m4 mara customer care wanadai kuna mtu j5 katoa m5. Au huna kumbukumbu vizuri. Request bank statement kukomfem transaction zako wakati unasubiri clarification toka kwa bank Teller.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
au ndo charges za kuendesha akaunti zimetafuna salio??😱
 
Back
Top Bottom