Kutokana na taarifa hali ya Kamanda Lissu tete ipo haja ya maombi ya taifa kumuombea Lissu. Maombi yafanyike uwanja wa jangwani na ykujumuisha madhehebu yote. Mwenyezi Mungu mnusuru Lissu.
jumamosi iliyopita nliamua niende kusema na wana kinoclan. ni kitambo kidogo nilikuwa sijatia maguu pande hizo kutokana na minyukano ya maisha na mieleka tunayocheza nayo. nikaona nimenyuti muda...
Samahani sana kwa wale wasiopenda kusikia mtu au watu wengine wakipata sifa ama kusifiwa!!
Baada ya kuona maandiko na comment nyingi za watu humu JF zinazoonyesha kumchukia Mh Rais nikatafakari...
Sikutaka kuandika chochote kuhusiana na shambulio la binadamu mwezangu Tundu Lissu kwani nilikuwa bado natafakari sana miaka 9 ijayo Tanzania itakuwa katika muonekano upi.
Kilichonisukuma...
Wakuu , hii mnaweza kuiona kama Masihara vile , lakini uchunguzi nilioufanya jijini DSM , Jiji linaloaminika kuongoza kwa unywaji wa maji ya chupa ( maji safi ) , unaonyesha kwamba biashara ya...
Habari wakuu!
ningependa kufahamu ofisi za TVE zilipo,nashida ya ki offoce mwenye kupafahamu naomba anielekeze!
Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika tumezaliwa na silika ya unafiki na kulipenda jambo baada ya kulikosa.
Inawezekana hii ni silika ya binadamu wote, ila mimi kwa uzoefu wangu watanzania tunakipenda kitu baada ya kupotea...
Inaonekana waliotamani Lissu afe labda walidhani propaganda zao kwamba jamaa ni msaliti wa nchi zinakubalika kwa wanajamii, la hasha majitu haya yenye roho mbaya kama shetani yalikuwa wrong...
Sasa hivi, kinachoendelea ni figisufigisu, lawama, mizengwe, kutoaminiana nashutuma na kusubiri mtu ajikwae ili alaumiwe watanzani, tuanze upya, tuipe serikali muda wa kufanya kazi, nini kifanyike...
Hello JF,
Leo nilikua na wazo,
Wajitokeze kila Forum, watu waliobebea kwenye fani, either kwa Elimu ama Experience, wajiunge as Verified Users. Atakae wadharau au kutumia lugha ya kebehi kwao...
Tarehe kama ya leo miaka 52 iliyopita ardhi ya Tanganyika ilipata baraka kubwa baada ya kupata mtoto aitwae freeman Aikael Mbowe!
Mheshimiwa Mbowe amekuwa na muono wa mbali sana kuhusu taifa...
Kampuni ya simu inayoongoza nchini, Vodacom , imeyahamisha makazi yake ambayo yalikua katika eneo maarufu dsm liitwalo Mlimani City.
Sababu ya kampuni hiyo kuhamisha makao yake makuu inasemekana...
Habarini wanajamvi!
Samahanini nina tatizo au shida kidogo imenitokea hapa!
Juzi nilinunua TV (Samsung flat screen) wakaniambia ina king'amuzi ndani na wakaitest palepale na kweli channel nyingi...
Mwanza. Tafiti zinaonyesha vifo 247,976 vimetokea kwa miaka 10 katika hospitali mbalimbali hapa nchini, huku magonjwa ya malaria, maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua, Ukimwi, upungufu wa damu...
Mimi na chama changu cha NRA,tunaungana na watanzania wote tunalaani MATUKIO ya mashambulizi ya kutumia silaha, yaliyotokea hapa nchini.
MATUKIO hawa yanafanywa na watu wasioitakia mema...
Mtengenezaji Saruji wa pili barani Afrika, Dangote Cement, katika kiwanda chake cha Mtwara mambo si kuntu kwani kimejaa matatizo mengi yanayotokana na uongozi mbovu na aina isiyozoeleka ya...
ICAP inapima HIV na vipimo vingine kundi maalumu la watumiaji wa madawa ya kulevya wilaya ya Temeke toka miezi kadhaa iliyopita.
ICAP Temeke hakikisheni wote walipimwa na kukutwa na maambukizi...