Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,626
- 40,526
Mahakama ya juu nchini india itapitia upya sheria inayohusu talaka ya dini ya kiislamu ambayo kwasasa Mwanamme anatakiwa kutamka mara tatu neno talaka na kumwacha mkewe papo hapo(Triple Talaq). Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya Wanawake wa India na watu wakutetea haki za Binadamu kuhusu sheria hiyo inayomtaka Mwanamme atamke mara tatu neno talaka mbele ya Mkewe na kumwacha.