Pongezi kwa EATV!

Pongezi kwa EATV!

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,661
Aisee nawapongeza sana uongozi wa EATV kwa kuonesha uzalendo wa kusaidia wasanii sio kama media zingine.EATV wanasupport Bongo movie kwenye idea ya "Barazani" ambayo itawezesha Bongo movie kupambana na uharamia na kuhakikisha kila mtu anaehusika na production anapata haki stahiki.Hongereni sana EAtv kwa uzalendo wenu!
 
mpaka leo bado unaangalia bongo movie wanao igiza MTU kafa wakati huohuo camera inaonesha kwenye tumbo la maiti likiwa Lina hema, pole sana

[HASHTAG]#RIP[/HASHTAG] bongoMovies baada ya Kanumba kuondoka
 
Back
Top Bottom