Wanawake na kumbi za starehe

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,404
2,000
Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen
Tunakoenda wapi ee Mola

update...
Huyu dada ni staa maarufu huko South Africa, anaitwa ZONDWA WA BANTU.
anasifika pia kwa tabia ya kutovaa kifuniko cha asali
 

wanan

Senior Member
May 11, 2011
141
225
Hajakosea kitu kabisa kwa SBB alikuwa shm ya starehe.mwenye kosa aliye tekodi Na we kutupoa jf.
Tutakiwa kufahumu shm ya starehe uvae nn na shm za ibada/matembezi.
Tuelimike jaman
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom