Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nichukue fursa hii kuwasilisha hoja Kwa mamlaka husika ili zichukue hatua dhidi ya uongozi wa shule ya sekondari ya Bagamoyo iliyopo mkoani Pwani. Uongozi wa shule hasa mkuu wa shule ameshindwa...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Bado nachelea kuamini madai ya kutumia milioni 10 kwa siku kwa matibabu ya Mh. Lisu! Anatibiwa nini kila siku kinachogharimu hiyo pesa? Kwann mbowe ameng'ng'ani huko? Milioni kumi kwa siku ni...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Mipango ilikuwa ni kumuua mlengwa na ikibidi na dereva pia.... Intelijensia iliyotumika haikupangwa na watalaam na pengine kitengo cha usalama mkuu hakikujulishwa ama la kama kikijulishwa zilikuwa...
47 Reactions
89 Replies
12K Views
#Habari:Mkazi mmoja wa Manispaa ya Mtwara Sharifu Issah al maarufu Zamda Salumu amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vitendo vya utovu wa kimaadili kwa kujifanya mwanamke na kumshawishi...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Vijana wengi wanaotumwa/wanaotumiwa kufanya mauaji ya watu maarufu, wasiostahili kuuawa, huishia kuwa wagonjwa wa akili/mataahira. Mmoja aliyewahi kummwagia tindikali mtu fulani maarufu...
26 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa WANAHARAKATI na WANANCHI. Kwanini Watanzania ni wagumu sana kuelewa jambo au kubadili Fikira? Nifuate ujue Ukweli wote kwa clip hii ya video facebook: Deogratius Nalimi Kisandu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Bomba limepasuka wiki ya tatu Sasa na tunakimbilia mwezi kuisha ktk makutano ya mtaa wa Chiwanda na Mwongozo Tandika lakini DAWASCO wako kimya kabisa pamoja na kupewa taarifa na hata ofisi zao...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
BRING BACK DEO KISANDU. Kwa kuwa Mimi mmeninyima Haki ya kifamilia na ushirikiano mpaka haki ya kufanya maendeleo yangu binafsi nayo nimepokonywa na Mimi nawanyima Haki ya kuishi kwa Jina la...
5 Reactions
104 Replies
10K Views
Ndugu wana jf na Jeshi la Polisi Tanzania ninaomba mnisaidie kuwachukua watoto wangu wa kuzaa mimi mwenyewe na mniletee kwani mpaka sasa wako mikononi mwa maadui zangu na watoto wanapotoshwa...
13 Reactions
135 Replies
10K Views
Inna Lillahi wa inna ilayhi raajiuun,.. Prof. Jahazi amefariki Dunia muda huu. Allah amsamehe, atie Nuru ktk kaburi lake na ampe kauli thaabit ndugu yetu [Allahummagh'firllahu]. Maziko ya Prof...
3 Reactions
62 Replies
14K Views
Ee sasa nisemeje, wenzetu wako mbaali kweli kweli kama ni mafuta tulikuwa nayo, madini, aridhi n.k kwanini hakuyachimba sasa hayo madini. Leo tungekuwa kama USA au Dubai. Nyerere tunamsifia bure...
6 Reactions
76 Replies
6K Views
Kutokana na report iliyotolewa na UN Human Development Report East Africa , Kenya yaongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wananchi wake kutokua na ajira. Huku Rwanda na Burundi zikiwa na asilimia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza inawasaka washukiwa wa shambulizi lililotokea katika stesheni ya treni ya chini ya ardhi, ambalo limesababisha kujeruhiwa kwa zaidi ya watu 20 katika kipindi hiki ambacho...
2 Reactions
4 Replies
937 Views
Wadau; Yapata wiki ya pili sasa sipati Azam customer service kwenye namba zao pendwa. Naomba mwenye namba inayopatikana anisaidie kwani nakwazika sana shauri signal zao zinapotea mara kwa mara...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Pamoja na Dar es Salaam kuwa na upepo mwanana na mandhari nzuri kutokana na uwepo wa Bahari, Fukwe za Jiji la Dar es Salaam limejaa uchafu wa plastic bags , bottles , na kila aina ya uchafu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Jonson Mwangosi na familia ya Dk Paul Kyara inamuomba Rais John Magufuli kuwasaidia kiasi cha Sh32 milioni kwa ajili ya kwenda kutibiwa figo zake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CDF Mabeyo anashangaa kwa nini watu wana hofu na matukio ya mashambulizi ya risasi ya hivi karibuni kuliko ilivyokuwa wakati wa mauaji ya viongozi wa vijiji vya kibiti. CDF Mabeyo amegundua kuwa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Naombeni kuwakaribisha katika mjadala huu wa kutoa tofauti za msingi kati ya maneno job,work na occupation
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…