HABARI ZA LEO.
YAH: KESI YA UBUNGE LONGIDO.
Baada ya rufaa ya kupinga kutenguliwa kwa matokeo ya ubunge wa Longido yaliyompa ushindi Onesmo Nangole (CHADEMA) kuondolewa na Mahakama ya rufaa...
Nashindwa kuelewa ni kwann imekua hivi,mwanzo nlikua na vipindi vizury mno mpaka ukawa inavutia kuangalia ila now ni vurugu tu yan any time munaonesha mamichezo ya mapikipiki tu mumesahau cyo wote...
Magazeti yapo mengi lkn kila gazeti lina heshima yake kutoka na habari zinazochapishwa.
Hata ukienda kwa mawakala wa magezeti watakwambia kuna gazeti wanauza idadi kubwa lkn kuna mengine...
Jamani ninyi watu wa Takwimu (NBS) bado tu hamjamaliza kufanya uchakachuzi wenu? Tunajua hivi sasa mnaendelea kupambana kuingiza majina yenu kwenye zile nafasi 450 zilizohitaji barua za...
Mfanyabiashara mji mdogo wa Lupa Tingatinga wilaya ya Chunya mkoani Mbeya amepigwa risasi na kuuwawa na majambazi yaliyomvamia dukani kwake na kuondoka na shilingi milioni 4
Shuhuda wamedai...
Taharuki,vilio na majonzi vimehamia manispaa ya moshi,mtaa wa PASUA baada ya kukuta nyumba zao zimewekwa alama ya X na maneno ONDOA na BOMOA.
Zaidi ya wakazi mi2 waliojenga katika eneo lililopimwa...
Katika logic ya kawaida nyumba imeungua na betri itakuwa imeungua. sasa walitambua vipi kilichoanza ni betri kupanda joto na kutoa moto halafu kuunguza nyumba? haiingii akilini!
Kuna aliyepima...
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo...
Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh...
Habari wakuu!!
Ili kupunguza ajali mbalimbali zinazotokana na zana za kivita hususani hizi ajali za kulipukiwa na mabomu, Wanafunzi wa shule za msingi wafundishwe kwa kuoneshwa picha mbalimbali...
Kwa sababu nia iliyotiwa na Khekhe wa Tanga ni kuwa mabaya yawafike wao walio fanya, pamoja na familia zao, pamoja na ukoo wao na mpaka watoto wao watakaowazaa
Hapa nia sio sahihi maana wapo...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma aliyeteuliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo, ameanza kazi kwa kutoa rai kwa majaji wafawidhi katika mahakama mbalimbali nchini kumaliza kesi...
Kweli CCM tuna miamba awali nilibahatika kuiona gari ya mbunge wa Korogwe yenye usajili Maji Marefu lakini leo pia kupitia luninga ya ITV nimeona gari ya mwenyekiti wa CCM Geita ambaye pia ni...
Na Thadei Ole Mushi.
Nimeangalia Movement za Mh Lazaro Nyalandu zimenifurahisha na zinamfurahisha kila mtu. Kuna wanaozingalia Movement hizo kwa jicho la Kisamaria na kuna Sisi tunaozingalia kwa...
Askari anayejiita Faru John ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam alikohojiwa na kuruhusiwa kuondoka akaendelee na kazi.
Kuripoti kwa askari huyo kunatokana na...
Nakuombeni nyie mliobobea katika mambo ya sheria na katiba ya nchi yetu mfafanue hili jambo. Navyofahamu, spika anaweza kutoa amri kwa askari wa bunge wamkamate mbunge na kumtoa nje. Lakini je...
JESHI la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia watu wawili, mke na mume, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha jirani yao, Iddi Seleman (40) kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Kamanda...
Wakuu habari za muda,
Jamaa yangu mmoja anaomba ushauri kabla ya kesho hajafika TRA kuulizia zaidi.
Je anawezaje kurejesha leseni yake iliyokwisha muda. Kama mwaka mmoja na nusu uliopita hakuwa...