Edward lowasa ni lini utarudia makeke yako?

Edward lowasa ni lini utarudia makeke yako?

samwel boaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
269
Reaction score
143
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa uchaguzi wa kihistoria katika nchi yetu. Ni uchaguzi ambapo baadhi ya vyama upinzani viliungana na kupewa jina la ukawa, mpeperusha bendera kwa tiketi ya urais kupitia ukawa alikuwa ndugu Edward lowasa, hakika alitikisa kwa kile alichokiita mafuriko katika mikutano yake. Mgombea huyu alipanda daladala hadi gongo la mboto, alikunywa chai kwa mama ntilie. Makeke haya aliyafanya wakati anatafuta kura kwa wananchi, ni lini tena mh huyu atakunywa chai kwa mama ntilie wa uswahilini, ni lini atapanda tena daladala ili kujua changamoto zinazotukumba wananchi?au anasubiri uchaguzi mkuu ndio tumwone kwenye migahawa yetu ya uswahilini. Ni mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom