Sheria 10 ninazotumia kufanikisha jambo

Sheria 10 ninazotumia kufanikisha jambo

Travis Walker

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
323
Reaction score
335
01. KUTOKATA TAMAA
Ninapoamua kufanya jambo huwa sikubali kushindwa hata kidogo

02. KUWA NA UVUMILIVU WA HALI YA JUU
Huwa napenda sana kusubiri kwasababu najua kuna baadhi ya mambo kama nitakuwa na haraka sitoyafanikisha daima

03. KUTUNZA MUDA
Sipendi kupoteza muda ovyo kwa mambo yasiyo na maana muda wangu hutumia kulifanyia kazi jambo mpaka likamilike

04. KUWA SMART
Napenda kufanya jambo katika hali ya umakini sana na wala sipendi kukurupuka

05. KUUMIZA KICHWA
Napenda kupambana na changamoto.Kila jambo likiwa gumu kwangu naona bora kwasababu najua nitapata kujifunza jengine jipya

06. KUTOKUWA NA WASI WASI
Napenda kuondosha hofu ,wasi wasi kabla sijaanza kudili na kitu chochote.

07. KUFIKIRIA KABLA SIJATENDA
Napenda sana kukitafakari kitu kabla sijaanza kukifanya Masuali kama kwanini,inakuwa vipi, napenda kujiuliza.

08. KUTOINGILIWA
Sipendi kumruhusu mtu mwengine kuniingilia katika mambo yangu.

09. KUTUMIA IMANI
Nina kawaida ya kutumia imani ,nachukia mtu kuniambia huwezi kufanya kitu fulani.

10. KUTOJARIBU BALI NI KUFANYA
Sipendi kujaribu ila napenda kufanya kitu kwa uhakika
 
01.KUTOKATA TAMAA
Ninapoamua kufanya jambo huwa sikubali kushindwa hata kidogo
02.KUWA NA UVUMILIVU WA HALI YA JUU
Huwa napenda sana kusubiri kwasababu najua kuna baadhi ya mambo kama nitakuwa na haraka sitoyafanikisha daima
03.KUTUNZA MUDA
Sipendi kupoteza muda ovyo kwa mambo yasiyo na maana muda wangu hutumia kulifanyia kazi jambo mpaka likamilike
04.KUWA SMART
Napenda kufanya jambo katika hali ya umakini sana na wala sipendi kukurupuka
05.KUUMIZA KICHWA
Napenda kupambana na changamoto.Kila jambo likiwa gumu kwangu naona bora kwasababu najua nitapata kujifunza jengine jipya
06.KUTOKUWA NA WASI WASI
Napenda kuondosha hofu ,wasi wasi kabla sijaanza kudili na kitu chochote.
07.KUFIKIRIA KABLA SIJATENDA
Napenda sana kukitafakari kitu kabla sijaanza kukifanya Masuali kama kwanini,inakuwa vipi, napenda kujiuliza.
08.KUTOINGILIWA
Sipendi kumruhusu mtu mwengine kuniingilia katika mambo yangu.
09.KUTUMIA IMANI
Nina kawaida ya kutumia imani ,nachukia mtu kuniambia huwezi kufanya kitu fulani.
10.KUTOJARIBU BALI NI KUFANYA
Sipendi kujaribu ila napenda kufanya kitu kwa uhakika
Aisee uko vizuri mkuu..ngoja nikuige baadhi ya hatua hapo


Somo zuri nimelipenda
 
Back
Top Bottom