Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi limeweza kuwakamata watu hao ambao mwanzo baadhi ya wananchi walikuwa wakisema watu...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Homa ya wamiliki wa nyumba zilizowekwa alama ya X jijini Tanga imeanza kupoa baada ya maofisa wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), kupita mara ya pili na kuandika maneno imefutwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mtu ambaye tokea alipokuwa waziri alionesha ujasiri wa pekee katika kubomoa nyumba, na kwamba alipokuwa waziri mara kadhaa "ngazi za juu" ilibidi wamzuie, pale munkari wake wa kubomoa nyumba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama Polisi ya Dar wanakusanya milioni 300 kwa siku mbili kwa nini mkazo usiwekwe nchi nzima kwenye kitengo hiki cha traffik ili mapato yaongezeke Yaani hiyo ni bilion kama 5 kwa mwezi kwa dsm...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni vizuri watanzania tuache chuki na Itikadi sa kisiasa na tuwe kitu kimoja. Haya mambo ya kutufanya tuchukiane bila sababu tujitahidi kuyaacha maana mwisho wa siku tutaanza kuuana sisi wenyewe...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Zamani tulifundishwa kufyeka vichaka, kufukia madimbwi ya maji yaliyotuama na kusafisha vizuri mazingira yazungukayo nyumba Ili kudhibiti mazalia ya mbu waenezao malaria. Leo jioni ukirudi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naichukia sana hii channel haina ubunifu wa vipindi kabisa yaani wanakera mpaka hasiraa Muonekano wa picha mbovu kuwahi kutokea itakua wanatumia mitambo ya tv ya toka enzi za wanazi wa ujerumani...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Tell I now where do we go from here As the country seem to be falling apart I wanna know before it's too late isn't it that we go to that sorrow one more time 'Cos these crazy leaders leaders in...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
=miaka 7 mtakuwa uraiani mnaaanza kula mlichokusanya muda wenu wote mkiwa kwenye power! =ulinzi utakuwa umepungua kwa asilimia 90. =mliowaumiza kwa visasi watakuwa wameshaumia wamezoea...
9 Reactions
26 Replies
4K Views
Kabla ya mwaka 2016 ilikuwa ni jambo la kawaida sana kuyasikia maneno haya ambayo nitayaorodhesha hapa ila tangia mwaka huo wa 2016 hadi hivi natiririka na naserereka na huu ' uzi ' sijawahi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
JITATHMINI BABU alimkabidhi mjukuu wake jiwe, kisha akamwambia: "Jiwe hili nimekupa, ni la kwako. Nenda ukaulizie thamani yake, lakini usiliuze kwa gharama yoyote." Kijana akalichukua jiwe...
11 Reactions
14 Replies
3K Views
Najua wengi watanipinga ila mimi upande wangu kuna kitu nimekiona watu wengi siku hizi siku hizi hawana raha na maisha. Yaani watu wengi wamekuwa tofauti tangu niwafahamu.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimeamua nilete Uzi tu nahisi nitapata faraja humu Nimeondokewa na bibi yangu huyu kwangu alikuwa zaidi ya mama na baba Alinipenda sana alinipa mahitaji muhimu katika utoto wangu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kila siku nikisikiliza bbc kwa nusu saa tu inatosha kuijua dunia. TBC 24 hrs lakini,!!,,,,,!!!!!
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Ni kweli kipato cha mwalimu sio kikubwa lakini serikali yetu pendwa hususani ya mkoa wa Dar es Salaam ingetafuta mbinu nyingine ya kuwasidia walimu hususani kwenye suala la usafiri na sio hii ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dsm na maeneo mengi nchini, siku za kuamkia jmos, j2 na j3 huwa kunakuwa na ajari nyingi sana zinazotokana na ulevi /unywaji wa pombe. Kuepuka hizi ajali, fanya hivi:- 1. Kama gari yako ina AC...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma habari ya Watumishi wa Umma kwa mkoa wa Dar kukopeshwa viwanja. Haya ni kwa hisani ya Mkuu wa Mkoa,na kwa mtizamo wangu ni jambo jema. Hili jambo linataka kufanana kimantiki na namna RC...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Jeshi la polisi mkoani Tabora limefanikiwa kuwaokoa mikononi mwa sungusungu akinamama wanne waliokuwa karibu kuuawa kinyama na kuchomwa moto kutokana na tuhuma za imani za kishirikina, ambapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nachukulia Ku bet ni kama kupiga ramli. Tofauti pekee iliyopo ni kwamba MTU anayebet anafanya hivyo kwa uhalali wakati huo huo mpiga ramli yeye amezuiwa na sheria kufanya hivyo. Kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…