Bucha lisilokuwa na mdudu 'nzi' likwepe

Bucha lisilokuwa na mdudu 'nzi' likwepe

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMALIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuza inzi.

Mfamasia mmoja Capt. Kenneth mwanachama wa UPDF, alisema"Ni kweli, hili ni suala la afya la kitaifa. Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kifanyika ikagundulika uwepo wa hiyo kemikali ya formalin katika damu ya mtoto."

Pale formalin inapokua imeingia mwilini, unaenda moja Kwa moja kwenye ini na kuliharibu.

Tafadhali, unapokwenda buchani kununua nyama, ni salama zaidi Kununua nyama ktk bucha lenye nnzi. Tumia uwepo huo kama uthibitisho wa usalama wa nyama isoyokua na kemikali ya formalin. Kama nyama haina nzi, kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.

Tafadhali, kua mwangalifu, okoa maisha.
 
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMALIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuza nnzi.
Mfamasia mmoja Capt. Kenneth mwanachama wa UPDF, alisema _"ni kweli. Hili ni suala la afya la kitaifa. Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kifanyika ikagundulika uwepo wa hiyo kemikali ya formalin katika damu ya mtoto."_

Mama Salma Kikwete kasimama bungeni anashauri serikali kupiga marufuku headphones kwa sababu zinasababisha uziwi.

Hukumatatizoya kweli na yanayouawatu kama haya hakuna anayeyazungumza bungeni.
 
Hapa kwetu tz kwa upande wa afya kidogo tupo nyuma sana
 
Hapana mkuu mtu ni afya bhana
Nakubali hilo sina shida nalo, ni vile ulivyotumia ustaarabu kujieleza tu kwamba "kidogo tupo nyuma sana".

Yaani umeuma na kupuliza hapo hapo.

Mtu akikusema "Kwa nini unasema tupo nyuma sana?" Unajitetea "Sijasema tupo nyuma sana, nimesema kidogo tupo nyuma sana".

Hahahahah. Umenifurahisha sana.
 
Ushauri wa kibozongo kabisa huu.. Nzi no. Indication ya uchafu.. Bucha safi haiwez kuwa na nzi..
 
Nchi za ulimwengu wa tatu ni majanga sana tunaishi kwa matumaini katika kila jambo.
 
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMALIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuza nnzi.
Mfamasia mmoja Capt. Kenneth mwanachama wa UPDF, alisema _"ni kweli. Hili ni suala la afya la kitaifa. Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kifanyika ikagundulika uwepo wa hiyo kemikali ya formalin katika damu ya mtoto."_

Pale formalin inapokua imeingia mwilini, unaenda moja Kwa moja kwenye ini na kuliharibu.
Tafadhali, unapokwenda buchani kununua nyama, ni salama zaidi Kununua nyama ktk bucha lenye nnzi. Tumia uwepo huo kama uthibitisho wa usalama wa nyama isoyokua na kemikali ya formalin. Kama nyama haina nzi, kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.
Tafadhali, kua mwangalifu, okoa maisha.
Thanks Great thinker,kumbe watu wananenepeana vitambi na Formalin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom