Ubunifu: Kutana na Daladala zenye Wi-Fi

Ubunifu: Kutana na Daladala zenye Wi-Fi

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Kila siku watanzania wanazidi kua wabunifu, kutokana na tatizo la foleni na umbali wa safari kutoka Kariakoo hadi Tegeta nyuki, huyu mjasiliamali kaamua kuweka WiFi kwenye daladala zake na kuwawezesha abiria kupata free internet connection.

20170916_150136.jpg
20170916_150136.jpg 20170916_150136.jpg
 
Nadhani itakuwa imedhaminiwa na halotel maana naona tangazo lao hapo juu, otherwise mmiliki wa daladala hana sababu ya kuweka kibiashara. Kwanza sio factor ya kuongeza abiria kwa sababu magari yenyewe tayari pungufu kulingana na idadi ya watu, pili hata wakiongezeka anaweza asipate kitu, itakuwa nyongeza kwenye hesabu ya Konda na dereva wake.
 
Back
Top Bottom