Uteuzi wa hovyo tume ya taifa ya takwimu

Uteuzi wa hovyo tume ya taifa ya takwimu

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
12,537
Reaction score
27,810
wiki 2-3 hawa jamaa walitoa tangazo kuhitaji watu wa kukusanya taarifa juu ya wakulima.

sehemu nilipo kuwa tulihamasishana kutuma maombi, watu kama 8 tukatuma.

watatu tukatumia matokeo ya kidato cha nne, wanne wakatumia matokeo kidato cha 6 mmoja akaweka full mkoko mpaka chuo.

jana naangalia walioitwa usahili nikacheka sana, hakuna hata mmoja kati yetu aliyetoboa. nikafurahi zaidi nilipo ona majina ya watu wenye ufaulu hafifu wameitwa.

nimejikuta nawaza maendeleo tanzania ni ngumu sana, taasisi zinaogopa wasomi, taasisi zinaogopa ufaulu mkubwa.

kwa upuuzi huu maendeleo ni ndoto.
 
kwan ile ya kwanza ya utafit wa mapato na matumiz kwa kaya bnafs tayar washatoa walobahatka wadau?
 
kwan ile ya kwanza ya utafit wa mapato na matumiz kwa kaya bnafs tayar washatoa walobahatka wadau?
ile ilipita juu kwa juu wakatoa mpya ya kilimo, uteuzi wake fatilia kwenye tovuti yao wameweka majina.
 
Back
Top Bottom