Ushauri: Ndani ya vituo vya mwendo kasi kuwekwe huduma muhimu kama ATM na Vyoo, n.k

ATM
Choo
na huduma ndogo ndogo muhimu ziwekwe nazo. nyie vipi bwana mnaachaje hela ya nje nje, pili mnakuwa mmetoa huduma na kupunguza usumbufu?
au mnasemaje wadau
big up aisee. Juz nilipatwa na mkasa aise. nilikua nawahi job. nikiamini nina 700 mfukoni. bado dkk 10 natakiwa kariakoo faster. nina funguo za office. boss kawahi ananisubiri. nikapanda ngazi za daraja la ubungo faster. nataka kukata tiket ya mwendo kasi. duu kujicheki nina 200 tu. aaah nikakumbuka 500 nimemwachia mwanangu. nikatamani pawe na mpesa hapo au ATM. daa nilipanda lile daraja faster nikatafute bodaboda.

kaka umewaza vema aisee. yakikupata utatamani waweke mpk pharmacy
 
Wanaobeza maoni haya hawajui nini maana ya huduma za jamii. We Hazchem plate unadhani kila mtu anawaza kunya kama wewe? Hiyo ni kati ya vitu vya muhimu eneo lolote linalokuwa na mikusanyiko. Ni wazo chanya sana hili.
mkuu nimeshangaa nilivyoshambuliwa ndo maana matajiri ni wachache bongo watu wana mawazo finyo sana tena watu wa heshima tu ukikutana nao
 
big up aisee. Juz nilipatwa na mkasa aise. nilikua nawahi job. nikiamini nina 700 mfukoni. bado dkk 10 natakiwa kariakoo faster. nina funguo za office. boss kawahi ananisubiri. nikapanda ngazi za daraja la ubungo faster. nataka kukata tiket ya mwendo kasi. duu kujicheki nina 200 tu. aaah nikakumbuka 500 nimemwachia mwanangu. nikatamani pawe na mpesa hapo au ATM. daa nilipanda lile daraja faster nikatafute bodaboda.

kaka umewaza vema aisee. yakikupata utatamani waweke mpk pharmacy
mkuu humu wamebeza ila sii kwa mkusanyiko huo kuacha kuwa na huduma muhimu walibuni wana mawazo kama wachangiaji wa mwanzo mwanzo hapo juu any way ndo tanzania maskini
 
Vyoo vipo kwenye vituo sasa mwenzetu anataka viwekwe ndani ya mwendokasi kweli kwa mazingira yetu unaona ni sahihi?
vituo viwekwe huduma muhimu , sii choo tu mkuu usifunge kuwaza nje ya box nimetoa mfano
 
Jamani ni mawazo yake huna budi kuheshimu
Sababu wengi hawajuwi yanayoombwa ni kawaida ugaibhuni, wenzetu kila siku wanajaribu kurahisisha maisha ya raia, sisi tunaponda au kuona ajabu! Uzuzu kabisa..Wenzetu kuna mpaka ma-lockers, maduka, TV kuashiria basi lakwenda au kutoka sehemu laja au kwenda saa ngapi....Tutembee tuyaone raia..
 
wagoogle basi ata waone kwa wenzetu eti mkuu ee
 
Back
Top Bottom