Huku nilipo mkuu natumia king'amuzi kingine sio cha azam, azam kuangalia labda wakati wa mechi za ligi kuuSijafanikiwa kuipata video yake hata kama nimeitafuta sana, ila ikiangalia kipindi cha Mshike mshike michezoni cha Azam Tv mara baada ya taarifa ya habari, utaliona hilo tangazo