Akutwa amekufa kanisani kwa Gwajima

Akutwa amekufa kanisani kwa Gwajima

pepo ya Mabwege

Senior Member
Joined
May 18, 2017
Posts
138
Reaction score
117
Jana usiku kuna mshirika wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ubungo, alianguka na kupoteza Maisha wakati akifanyiwa Maombi!

Cha kushangaza waumini na wachungaji wa kanisa hilo waliamua kuitekeleza Maiti Mpaka walipopatikana ndugu wa Marehemu na kuuchukua Mwili wa Marehemu,

Majira ya jioni ndugu wa Marehemu alienda kuomba utaratibu wa kanisa, wachungaji walikuwa wanarushiana mpira na kisha kuamua kusema Marehemu alianguka barabarani na wao wakamuokota kama wasamaria Wema tuu.

Mungu Si athumani Marehemu alikuwa muaminifu kwenye zaka(fungu la kumi) na amehifadhi risiti zake zote alizotoa zaka kuanzia Mwaka 2014 hadi July 2017.

Naomba hii iwe changamoto kwa Askofu Gwajima na wasaidizi wake jinsi ya kuthamini waumini wake wa hali ya chini na kuwajali,

Baadhi ya risiti za Marehemu naziambatisha hapa.
24c791dc369fa7030fda121ad295e27c.jpg
d0d836a151be0e4a31766b4760674770.jpg
edfbdf04b3eabc6af96878ceb70dc8eb.jpg
 
Naona inatengenezwa episode nyingine ya shilawadu hapa. Ila badala ya clouds sahivi ni JF

Hivi Gwajima ni shahidi kwenye kesi ya meya?
 
Badala ya kwenda hospitalini wanaenda kuombewa

Elimu elimu

Halafu tukisema kwamba hawa wanaosali hayo makanisa wana matatizo fulani katika mfumo wao mzima wa muunganiko wa Ubongo na waya za Fikra huwa mnatununia na kutukasirikia. Sasa yamewakuta! Mmeanza na Kudanganywa hadi mkakolea na sasa mnaanza Kupukutika mmoja mmoja Kudadadeki.
 
Halafu tukisema kwamba hawa wanaosali hayo makanisa wana matatizo fulani katika mfumo wao mzima wa muunganiko wa Ubongo na waya za Fikra huwa mnatununia na kutukasirikia. Sasa yamewakuta! Mmeanza na Kudanganywa hadi mkakolea na sasa mnaanza Kupukutika mmoja mmoja Kudadadeki.
Tundu Lissu apelekwe SCOAN kwa uponyaji wa haraka


Kuna popoma jana alitoa uzi kuwa lissu atolewe ICU na apelekwe scoan kuombewa atapona haraka yaani atolewe mifumo ya oxygen aliyowekewa ,operation zingine ndogo asifanyiwe na majeraha ya operation bado mabichi

Mi naona madaktari wataalamu wa masuala ya medula oblangata wawe na time table ya kutoa nasaha kwenye majumba haya ya ibada ya type hii,wengi tutawapoteza la sivyo
 
Back
Top Bottom