Jumatatu ya leo ya tarehe 13/04 ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa.
Asubuhi nilipokea pongezi kutoka kwa marafiki na jamaa kupitia jumbe za meseji za kawaida na WhatsApp.
Ilipofika mida ya saa 4...
Ukweli usemwe: mfumo wa ajira Tanzania
Kwa sasa hauendani na kasi ya uzalishaji wa wahitimu (graduate output) wala mahitaji halisi ya maendeleo ya taifa. Mfumo wa Ajira Online alimarufu "AJIRA...
Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa
Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta
Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project...
Maeneo mengine mengi watu wanavunjaga katiba na wala hawajali!!
Lakini kwanini kwenye report ya CAG kuwekwa hadharani ufisadi wanaofanya hapa huwa nini kinatokea?
Sawa ni takwa la kikatiba, but...
Nilimaliza form six nikaingia jeshini kwa mjibu wa sheria nilienda kibishi tu na nguo za kitaani fulani nyeupe na modo nyekundu na sendos za kishikaji fulani .
Nimefika zangu Dodoma natokea mkoa...
Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka.
Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa...
Afande Mansour Awadh Said Afariki akitokea Dodoma kwenda Rukwa
Alipumzika Dodoma. Kabla ya kuendelea na Safari ya Rukwa huko Sumbawanga.
Je, Dodoma walimpokeaje?
Kabla ya kifo alisikika...
Wale Askari wapale Jangwani wanaokamata usafiri kama Bajaj wawe na kauli nzuri na ustaarabu kwa abiria walioko ndani ya usafiri.
Wanawafanya watu kama wezi na kuwatolea maneno machafu na kufanya...
MTOTO WAKIUME KUKOSA MALEZI YA BABA BORA MATOKEO YAKE NDIO HAYO KUTANGATANGA KWA KINA IPM NA KINA MWAMPOSA NA WAGANGA WAKIENYEJI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kijana wangu. Wewe ni...
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume...
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma amesema kuwa kuundwa kwa Tume huru ya uchunguzi wa matukio ya vurugu zilizotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ni taswira nzuri...
Uanaume si koti unalolivaa ukubwani; ni mbegu iliyooteshwa ndani ya vinasaba (DNA) .
Sifa kuu za kiume—Uongozi, Uthubutu, na Ulinzi—ni silika za kibaolojia ambazo mwanaume huzaliwa nazo. Hata...
Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni waendesha bodaboda wamepoteza maisha leo Aprili 14, 2026, baada ya kugongwa na treni ya abiria katika ajali iliyotokea eneo la Mtaa wa Miemba, Kata ya Malolo...
Siku inakuja, siku mbaya ya kutisha, isiyofanana na siku nyingine yoyote. Siku ambayo ukweli wote utawekwa wazi, na kila mtu atasimama mbele ya kiti cha hukumu. Wachache watashangilia lakini wengi...
Habari
Karibu tufungue ubongo .
Kwanza nikueleze pesa haiendi kwa mtu asiye na potential cha kwanza uwe mtatua matatizo fulani basi pesa ndio itakufata