Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu.
Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu...
Hii ni habari ngeni kabisa kwa wale watakaobahatika kusoma hii mada na pia wale wenye kupenda kujifunza vitu vipya ni sanaa ya kifo katika uhalisia wetu bila kuchanganya na doctrines za kiimani na...
Mpanda – Katavi
mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mipya, hivyo miundombinu ya kiutawala, biashara, huduma za jamii na uwekezaji bado inaendelea kujengwa.
Pamoja na kuwa na fursa kubwa katika...
Imagine makamu wa Rais anajiudhuru kihuni kihuni tu,kamasio uhuni ni nini?,baada ya kujiudhuru haieleweki yupo wapi, hajakabidhi ofisi,hajaonekana kizimkazi,huyu kimama ataishi kama digidigi na...
Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata...
https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI
Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema..
"Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa...
Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10...
Ni kipindi cha wiki kadhaa nikitumia huduma ya internet ya kampuni hii ya simu.
Muda mwingi umepotea nikisubiri huduma, mtandao unazunguka tu. Nimepata harass ya muda, Mali na saikolojia...
Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂
Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji...
Habari,
Sisi ni wakazi wa Sokoine ndani ya Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Tuna kero kubwa ya upatikanaji wa maji. Mara nyingi maji hupatikana mara moja kwa wiki, na kwa nadra sana hupatikana...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezielekeza Wilaya na Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafanya kazi ya...
Sehemu hii ya pili pia ni mfano hai,
Angalizo
Haya maandiko ni sehemu ya kupata Elimu kwa wanao,walio na watakao.
Katika sehemu ya kwanza tuliona mfano mmoja lakini takwimu zaonyesha ni maelfu ya...
Kuna mmoja alinoacha nikiwa na miaka 20 (niilimwona pia katika Tv) karudi na hata hajapumzika Wiki akaanza Kuniulizia nami nikamwambia huyo aliyemuuliza amwambie kuwa nami nasubiria Ndege ya Pili...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kujiandaa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo imeendesha...