Habari za jumapili!
Mkono Wa kulia na kushoto ni maneno yanayoeleza namna mikono yetu ilivyo na kazi zake; naomba mtu anayejuwa vyema historia na chanzo cha matumizi atufahamishe, wengi tumejikuta tunakuwa, na pengine huko shule tulivyocharazwa tumejikuta tumezoea, Mimi nitajaribu kidogo anayejuwa atanisahihisha.
Mkono wa kushoto unaonekana kunyanyapaliwa zaidi, na pengine kuhusishwa na imani za kishirikina(chuma ulete) Mimi huwa najiuliza, hawa waliotohoa lugha basi wangekuwa waungwana wakaupa jina MKONO WA KUCHAMBIA ili kuonyesha majukumu kama ilivyo mkono wa KULIA.vivyo hivyo wazungu wao wanaita (left hand) jambo ambalo linakinzana na lugha yetu.
=========
Naomba anayefahamu zaidi atujuze

- Mkono Wa kulia
- Mkono wa kushoto