Deni la Marekani ni Deni Hewa?

Deni la Marekani ni Deni Hewa?

Hizi ni conspiracies za kiuchumi zinazoongozwa na zile familia zinazo endesha dunia, kuna mambo mengi tunayaona lakini uhalisia wake ni kinyume kabisa na tunavyofikiria. Watu wasome, vitu vingi sana vmefichwa kwenye vitabu

Kukudokezea tu, wajua ya kwamba Central Banks zote(including Federal Reserve ya Marekani) za almost nchi zote ni mali ya hizo familia zinazo run dunia?
Kuna biashara kubwa tunazoaminishwa ni za watu kwa mfano Bill Gates na Microsoft sio zao?
Unajua kua kinachoitwa mabadiliko ya tabia nchi ni kitu kinachochezeshwa na kua controlled na watu kitechnolijia na kwamba ni biashara ya ma trillion?
Unajua magonjwa na dawa hutengenezwa ili iwe ni biashara? (Pharmaceutical Industry doesn't create cure it creates customers) hivo visukari vyenu siku hizi ni mpango maalum ili maisha yote uwe mteja wa dawa!
Dunia si salama tena na hayo madeni sio tu ya Marekani bali dunia mzima mengi ni fake! Na ukitaka ubaya na wakubwa hao basi pambana ili usidaiwe! Hawataki ukae bila kudaiwa(miongoni mwa sababu zilizimponza Gadafi na mpango wake wa kuunda bank la Afrika mfano wa IMF)
 
Hayo mambo uliyasema yote ni conspiracy theories.
 
Interesting..

Lakini unajua kuwa hizo familia unazozitaja hapa zimeweza kuushika uchumi wa dunia kwa kuzikopesha nchi nyingi duniani ikiwemo Marekani yenyewe? Kama hakuna deni kweli hao 'jamaa' washalipwa zote?
 
Back
Top Bottom