TCRA wako wapi kukemea hili la BBC Swahili kuweka ujumbe usio na maadili ya Kitanzania?

simba wa dodoma

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
925
1,010
wadau mara nyingi nasikia tcra inapambana sana kwenye maadili hasa swala zima la kwenye media na sasa hivi kuna matangazo nayaona kwenye tv usitume ujumbe wa uchochezi vip hawa bbc swahili katika maadili ya tanzania na hii
 
Attachments

  • 2017_10_01_15.03.24.png
    2017_10_01_15.03.24.png
    339.2 KB · Views: 35
wadau mara nyingi nasikia tcra inapambana sana kwenye maadili hasa swala zima la kwenye media na sasa hivi kuna matangazo nayaona kwenye tv usitume ujumbe wa uchochezi vip hawa bbc swahili katika maadili ya tanzania na hii
Wewe mpuuzi

Sasa Tcra wataka wafanye nn hapo?

Hicho ni chombo cha habari na hapo ni sehemu ya mqjukumu yake, wewe mdo tcra wqnatakiwa wakuqngalie vizur

Mkiwa mafichoni mnafanya mambo ambayo hata mnyama hawezi Fanya, Leo hapo unajishaua

Ovyooo
 
Back
Top Bottom