Siasa-Uchumi: Hivi mhasibu akiondoka na hela ya ofisi kampuni inafunga account?

Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Wakuu naombeni msaada ktk hili ili taratibu tuanze jifunza uchumi siasa wa bongo ili mambo mengine yasijekuwa ndio fashion.

Hivi ikitokea watu walioaminiwa kma mhasibu na mweka saini mwingine wakasepa na hela ya kampuni au kula vifaidaa fulani fulani, reaction ya kampuni ni kufunga account na kuchukua hela za kampuni.
Nani atakuwa na kosa hapa, ni bank au mfanyakazi?
 
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Messages
3,301
Likes
1,358
Points
280
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined May 17, 2011
3,301 1,358 280
Hujaeleweka aisee
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,948
Likes
14,552
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,948 14,552 280
unazunguka sana, sema unataka nini
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,948
Likes
14,552
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,948 14,552 280
Kama haziko salama na ninasehemu salama zaidi ya kuziweka na kuzifanyia maamuzi. Nitaziweka ninapoona ni salama kwa manufaa ya kampuni
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Kama haziko salama na ninasehemu salama zaidi ya kuziweka na kuzifanyia maamuzi. Nitaziweka ninapoona ni salama kwa manufaa ya kampuni
huo usalama unaupimaje?Huyo mhasibu kachukua kisheria na kwa njia halali ambazo bank haziwezi mnyima.Sasa km huna kipimo ch ahuo usalama utajuaje,kwamba huko unapolekea ni salama? Kama tatizo ni mhasibu, hata ukizipeleka huko kwingine mhasibu bado atakuwa tatizo. Na ukipeleka mahali pengine zaidi ya bank usalama unakua mdogo zaidi na utatenda dhambi usiyotaka ya kuhujumu uchumi kwa kuficha hela.
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,948
Likes
14,552
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,948 14,552 280
huo usalama unaupimaje?Huyo mhasibu kachukua kisheria na kwa njia halali ambazo bank haziwezi mnyima.Sasa km huna kipimo ch ahuo usalama utajuaje,kwamba huko unapolekea ni salama? Kama tatizo ni mhasibu, hata ukizipeleka huko kwingine mhasibu bado atakuwa tatizo. Na ukipeleka mahali pengine zaidi ya bank usalama unakua mdogo zaidi na utatenda dhambi usiyotaka ya kuhujumu uchumi kwa kuficha hela.
Maamuzi yote yatafanywa baada ya kujiridhisha. Hizo njia halali ni halali kwa benki au halali kwa taratibu za ofisi?
Kama utaratibu ulizitaka Kwenda huko benki, Zitaenda ila kama Muasibu alizipeleka kwa utaratibu ambao Sio wa kampuni na lengo ni kumtufaisha yeye na mwenye benk na sio kampuni. Basi pesa hizo nizichukua ili kama zikienda tena ziende kwa utaratibu unaotakiwa na kama hazitakiwi kwenda nitaziweka mahala zinapotakiwa kwenda
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Maamuzi yote yatafanywa baada ya kujiridhisha. Hizo njia halali ni halali kwa benki au halali kwa taratibu za ofisi?
Kama utaratibu ulizitaka Kwenda huko benki, Zitaenda ila kama Muasibu alizipeleka kwa utaratibu ambao Sio wa kampuni na lengo ni kumtufaisha yeye na mwenye benk na sio kampuni. Basi pesa hizo nizichukua ili kama zikienda tena ziende kwa utaratibu unaotakiwa na kama hazitakiwi kwenda nitaziweka mahala zinapotakiwa kwenda
Nikurahisishie tuu. Bank huhitaji vitu muhimi kw amujibu wa BOT.uhalali wa shirika,kampuni , kisha watu waliohalalishwa na shirika husika kufanya mihamala. Kuanzia hapo Bank haiwezi kuwa Auditor wa ndani ya shirika. Shirika ndilo linatakiwa na mkaguzi wa ndani atakayekagua na kutoa report husika itakayochukuliwa na hilo shirika kwa hseria zake. Hivi umewahi jiuliza mhasibu anapokuja kuchukua hela za mshahara au kulipa kwa kugawanya ktk account,bank itathubutu vipi kuhoji uhalali wa hao wafanya kazi?km kuna hela itasaidia vipi au kumhukumu vipi bank kwa huo wizi? Kwa sheria za BOT km bank imekiuka basi ingewajibishwa,ila ktk mazingira ya mtu halali kufanya kazi haramu, baada ya kutoka nje eneo la huduma,huyo mtu ndie atawajibishwa kwa kuvunja imani na wajibu wake.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
km shida itaendelea kwa mhasibu anayefuata, huko hela zilipoplekwa baada ya kufunga account, hela zitahamishwa hadi lini?Na baadae mzunguko wa kuhifadhi hela ukiisha itakuweje?
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Habari za fixed account
Wachumi wa wa BOT, na yule MSAJILI WA HAZINA aliyetaka tumia FIXED DEPOSIT ACCOUNT km mortgage financing kuielezea km rocket science na kufanikiwa sana. Wamachukua mwezi kudanganya Kitu ambacho bank Clerk anaweza elezea mteja wake vizuri sana. Itabidi DR . KIMEI ATUME BANK CLERK MMOJA PALE BOT NA MAKAO AMKUU YA CCM AKAWAPIGE WATU BRUSH
 
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Messages
3,301
Likes
1,358
Points
280
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined May 17, 2011
3,301 1,358 280
huwa nyie hamkosekani km mchango wenu wa kwanza .Kisha hamrudi tena.Kwa vile nataka msaada.
Nimerudi tena, usipoeleweka sirudi tena.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Nimerudi tena, usipoeleweka sirudi tena.
Unajipa uhumimu wakati umeingia km mzigo.Nyie watu wa kubeba hela na magunia mnapenda side stories. Kwanini usingerudi kwa kuanza na hoja iliyopo mezani au ndio kutafuta gia ya kuongea mengine?
 
accused

accused

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Messages
2,513
Likes
2,612
Points
280
accused

accused

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2015
2,513 2,612 280
Uzi umekaa kimbea mbea
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,649
Likes
132,554
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,649 132,554 280
Wachumi wa wa BOT, na yule MSAJILI WA HAZINA aliyetaka tumia FIXED DEPOSIT ACCOUNT km mortgage financing kuielezea km rocket science na kufanikiwa sana. Wamachukua mwezi kudanganya Kitu ambacho bank Clerk anaweza elezea mteja wake vizuri sana. Itabidi DR . KIMEI ATUME BANK CLERK MMOJA PALE BOT NA MAKAO AMKUU YA CCM AKAWAPIGE WATU BRUSH
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
serious, KIMEI akileta clerks wa CRDB atawaonyesha kwanini bank yake ipo pale na sio kwa siasa au rushwa au ukanda.Ila kwa kufanya kazi kwa bidii, kuwa na malengo,kutojidanganya, ndio maana taasisi za serikali zinapeleka hela kwake.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Kampuni inayofunga accoount badala ya kufikiri kumkabili mhasibu n akuajiri mhasibu mwenye maadili na awekwe chini ya sheria na taratibu zinazopunguza au kuondoa kabisa uwezekano wa wizi.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Very soon tutarudi hapa.Hii CCM itakapotoka manundu ya kutosha hadi macho yasione km tyson,ndipo watakubali hujuma dhidi ya Chadema ni mbaya zaidi.Wameshashikwa pabaya .Ukikimbia nchale,ukichimama nkuki. Hujumu majiji, unaharibu uchumi,ukiharibu uchumi unaanza kimbizana na watendaji wa mashirika muhimu kutafuta mchawi asipo.HUko napo ndio wanajianika vibaya.Wanaingiza watu wasio na uwezo wa kuingizia hayo mashirika hela za kutosha kufanya na watendaji kufaidika.
 
Forum statistics

Threads 1,275,064
Members 490,894
Posts 30,531,911