Medicci
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 553
- 917
Wadau,
Ningenda tu kuwatanabaisha wanajamvi wenzangu kuhusu jambo hili. Kwa sababu inawezekana wengi habari zao zinavuja bila wao kujua.
Sana sana kwenye mitandao kama JF pale ambapo watu hawangependa kufahamika lakini yakawakuta mabaya.
Picha au Video tunazoupload mitandaoni zinakuwa na hidden information, kuhusu aliyepiga ile picha kwa maana ya Geolocation, aina ya kifaa alichotumia, tarehe na mwaka picha ilipopigwa, na wale wenye software zenye ukubwa zaidi basi hata IMEA yakifaa ulichotumia kama ni simu watapata hivyo kuwarahisishia zoezi la kudeal na watu wanaopost picha za uchi au basi wale wanaojiona wanaharakati huku wakificha identity zao. Hatua za kuchukua ili kujizuia kuanika hizo habari nyeti kuhusu wewe na kifaa chako.
1. Kutokupost mitandaoni picha tulizopiga kwa kutumia simu zetu.
2. Kuna-application na software za kufuta hizo habari za siri (Exif metadata editor) lakini si za kuaminika kwa sababu mashirika ya kiintelinjensia wanasoftware zenye uwezo mkubwa zaidi.
Niwatakie majadiliano mazuri, na tuwe salama pia, yanajadiliwa mengine yanawaumiza watu wachache huku wenye nguzu.
Kwa hiyo tuchukue tahadhari, TUSIPOTEE OVYO