Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu Kuna utafiti naufanya hapa, naomba mwenye nyaraka zifuatazo anitumie au kunielekeza ninapoweza kuzipata kwa haraka 1. Katiba ya chama cha mapinduzi toleo la mwaka 2017 2. Kanuni za...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo kwa kweli kwenye habari ya Saa 2 usiku mmekosea sana. Badala ya kupata mahojiano mlioandaa mnaleta habari tofauti kabisa. Baada ya hapo mkaamua kuleta habari kutoka Moshi bado mkachemka...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya kukosa soko la uhakika kwa miezi mitatu huku wakulima vijijini wakilazimika kuuza mbaazi zao kati ya Sh150 na 200 kwa kilo, hatimaye masoko matatu yamepatikana nje ya nchi. Masoko hayo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza hapo Uzi huu ni kwa ajili ya kuwasilisha ombi langu kwa kampuni ya Kitanzania inayotengeneza pombe Kali kama Konyagi,Valuu na zinginezo inayojulikana kama Tanzaniania...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Leo kuna mkutano wa Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) na waandishi wa habari na unafanyika hapa Gerezani makao makuu ya DAWASCO. Ni kuhusu Application ya DAWASCO APPLICATION...
7 Reactions
38 Replies
14K Views
Naona Kuna malalamiko mengi kuwa kwanini matukio ya uhalifu yanatokea lakini maeneo hayo kunakuwa na ulinzi wenye silaha. Tukumbuka matukio ya vituo vya Polisi vilivyovamiwa na wahalifu wakaua...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Utawala huu wa Magufuli hatujibu hoja hata iwe ukweli kiasi gani sisi tunajibu matusi, na kulaumu chama cha kijana kwa kila jambo. Tunataka mabadiliko lakini hatujajiaandaa kubadilika, kitu...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Naibu waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Anjelina Mabula, atoa sababu za bomoabomoa kwa niaba ya serikali kuwa: 1. ujenzi holela, 2. ramani za mipango miji hazifuatwi. Je, kila...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Upoteaji wa mafaili katika mahakama za mkoa wa Dodoma umekithiri hasa mahakama za mwanzo wilaya na mahakama za ardhi.Hii inasababisha haki ya mtu kuchelewa.Utakuta kesi huarishwa mara tatu mpaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu napenda kujua hii habari ya utajiri wa mafuta na gesi iliyovuma sana kuanzia mwaka 2013 imeishia wapi? Maana tuliambiwa umaskini basi tena baada ya gesi kugunduliwa Tanzania. Naomba kujuzwa...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Yaani hawa jamaa wa ajabu sana ukiangalia vipindi vyao kuanzia asubuhi mpaka unaenda kulala ni Fiesta tu. Taarifa ya habari ni Fiesta tu masikini wa Mungu yaani hata kama mna hamu na pesa acheni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nchi yetu ni moja kati ya nchi zenye low productvity Duniani, lkn karibia kila Mtanzania anadai Mshahara mkubwa, sasa huo Mshahara mkubwa utatokea wapi kama hakuna productivity? Kampuni yoyote...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Si jambo la siri au kificho kwamba kuna ufisadi mkubwa, tena wa kutisha uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha. Mtu anaweza kushangaa au kuuliza kwanini Mkuu wa Chuo...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Kwa nini chadema wamehamaki sana na huyu jamaa? Wengi wameongea lkn hkn mtu ambaye mpaka sasa amewatoa chadema shimoni kama huyu, kuna anayejua labda zaidi for starters?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau, naomba wenye fact mje tujadili . Ukiitishwa uchaguzi leo wa usawa na haki kati ya CCM na CDM nani atashinda? Naomba tuchangie kwa fact, point to point, Jazba, matusi visiwepo kwan...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wakuu amani iwe nanyi, wataalam wa kubet jamani naja kwenu,naomba mnifunze jinsi ya kubet,na ni kampuni ipi nzuri kwa ajili ya betting. Tafadhali andika hatua kwa hatua
1 Reactions
6 Replies
20K Views
Leo katika viunga vya Sokoni Kariakoo mzungu mmoja alituhumiwa kumwibia Mama wa Kibongo hela kwenye pochi yake hali iliyopelekea kupewa kibano na raia wenye hasira kali hadi polisi walipofika...
3 Reactions
67 Replies
14K Views
Najiuliza kwanini mifuko hii haitaki kutoa fao la uzazi kwa mwanaume? Mbona wanawake wakijifungua wanapewa fao hili? Ushauri. Naomba muweke vigezo ambavyo mwanaume uliyebahatika kupata mtoto...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naombeni ushaur wenu mdogo wangu amesomea udereva sasa alikua anashughulikia leseni akapata ndugu yetu akamwambia yeye Ana mtu anamjua tra atamuunganisha nae huu sasa ni mwezi wa pili...
1 Reactions
2 Replies
877 Views
Ukisoma kitabu cha Hesabu utakutana na visa vingi vya kuchekesha na kufundisha. Kimoja wapo ni kile cha Uasi wa Korahi mlawi ambaye huku akisindikizwa na watu 250 waliadhimia kuupindua uongozi wa...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…