Deogratius Kisandu; Wee jamaa mbona kimya kingi?

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,220
2,000
Aiee Mkuu nimekukumbuka tuu natafuta namna ya kuwasiliana na wewe kuna issue flani unishauri kuhusu masuala namna ya kufanya unapodhulumiwa na Rafiki yako kabisa na upanapoahidiwa cheo halafu usipewe...PAMOJA NA MASUALA MENGINE YA KIJAMII Kwa uzoefu wako wa huko ulikopita
uje Mkuu
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,024

Deo Kisandu yuko analia. Kachoka kuandika malalamiko yake kaamua kufanya mgomo baridi. Full kulia hadi wamsikilize
 
Bora aje Aisee siku kama ya leo ni muhimu sana kwake kuja jamvini....kumbe na wewe huwa unamkumbuka Mkuu...jamaa ni Nomaa aisee acha tuu hawezi kukuacha hivi hivi...
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,024
2,000
Bora aje Aisee siku kama ya leo ni muhimu sana kwake kuja jamvini....kumbe na wewe huwa unamkumbuka Mkuu...jamaa ni Nomaa aisee acha tuu hawezi kukuacha hivi hivi...
Jamaa yetu kisandu anatabia ya kupotea. Akiibuka kila mtu atatambua Deo kisandu anasema nini. Hata hivyo nampenda, ni msemakweli na husimamia anachikiamini
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,960
2,000
Si mara ya mwisho alikuwa ameweka picha za vyeti vyake sijui vya ubatizo, sijui vya kodi, sijui vya zake vilee nimesahau ila nakumbuka alikuwa ame attach ma nakala ya vyeti vyake Fulani hivi.
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,162
2,000
Aiee Mkuu nimekukumbuka tuu natafuta namna ya kuwasiliana na wewe kuna issue flani unishauri kuhusu masuala namna ya kufanya unapodhulumiwa na Rafiki yako kabisa na upanapoahidiwa cheo halafu usipewe...PAMOJA NA MASUALA MENGINE YA KIJAMII Kwa uzoefu wako wa huko ulikopita
uje Mkuu
Asije akawa naye alizama bahati mbaya baharini
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Si mara ya mwisho alikuwa ameweka picha za vyeti vyake sijui vya ubatizo, sijui vya kodi, sijui vya zake vilee nimesahau ila nakumbuka alikuwa ame attach ma nakala ya vyeti vyake Fulani hivi.
Ilikuwa kitambulisho cha NIDA.
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,493
2,000
Naskia amejiteka na anatumia ID fake kuanzisha movement za [HASHTAG]#BringbackourDeo[/HASHTAG] huko fb ili kujipa umaarufu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom