Habari wanajukwa,
Nikiwa kama mdau wa kulipia kodi na tozo kadhaa kwa serikali tukufu ya awamu ya tano, ningependa kujuzwa mishahara ya hawa watendaji wetu kwa mwezi wanaweka mfukoni kiasi gani...
Mahakama ya Kisutu yakataa kupokea vielelezo vya ushahidi wa msokoto na vipisi viwili vya bangi katika kesi inayomkabili.
Ikumbukwe kuwa Wema Sepetu alifanyiwa Upekuzi nyumbani kwake mnamo...
Ni dhahiri kuwa Maisha ya Chuo Kikuu huwa ni maisha ambayo kila mwanafunzi anayeanza mwaka wa kwanza huwa na shauku kubwa kuyafahamu.
Pengine umeuliza na kupata ushauri mbalimbali ila bado una...
Matendo yake na maneno yake ni vitu viwili tofauti. Mungu bariki Afrika. Swala la Bashite na DC Arumeru limetufumbua macho watu wengi na tumejifunza mengi kwa ajili ya 2020.
Unafiki mtupu. Never...
Habari zenu wadau. Japo ni miaka mingi imepita ningependa kujua baada ya dereva Dumisani Dube kuachiwa huru baada ya kusababisha kifo cha sokoine April 1984, Alielekea wapi? Kama kwao Africa...
Jeshi la Kujenga Taifa limerejesha mafunzo kwenye makambi yake matano ya Mpwawa, Makuyuni, Itaka Luwa na Milundikwa yaliyositisha utoaji mafunzo kwa vijana kwa miaka kadhaa, ili kupanua wigo na...
Nimefuatilia mtiririko wa ushahidi uliotolewa leo na mashahidi wanaomtetea Manji akiwemo daktari bingwa wa Magonjwa ya akili wa hospitali ya Temeke ni kwamba mkemia mkuu wa serikali hana kipimo...
Leo tena tuko Kisutu kwenye kesi ya Manji kuhusu madawa ..umeanza upande wa utetezi na shahidi wa kwanza wa upande wa Manji ni doctor, nitawajuza kilichojiri.
=====
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi...
Kampuni ya Quality Group (QGL) limited inayomilikiwa na Yusufu Manji imelaani utaratibu uliotumiwa na kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart kufunga ofisi zake, hivyo inakusudia kuchukua hatua za...
Tumesikia sasa kitambo ati kampuni za simu zinaweza kukukopesha kwa kupitia simu yako. Hakuna dhamana wala vurugu za kuomba mkopo. Na mkopo huo unaingiziwa katika akaunti yako kama X-Pesa.
Tatizo...
Mjumbe hauwawi.
Nilikuwa napitia pitia habari kwenye ukurasa wa ITV na kukutana na hii habari.
Kwamba, Sirro amewaonya wahalifu waliojihusisha na mauaji kule Kibiti na kukimbilia Mtwara, kuacha...
Wakuu salama humu!? Moja kati ya misafara makini na sensitive ni Msafara wa mkuu wa nchi(Presidential motorcade) Licha ya kujumuisha magari mengi ila pia Barabara zinazoingia main road atakapopita...
Ukijifunza kusema na kusimamia ukweli, jifunze pia kuishi na kusimama peke yako; maana ni kupitia hili hata ndugu,jamaa na Marafiki watakutenga,watakusaliti na labda wanaweweza thubutu kukuua...
Nawakumbusha tu hapa wote mliopata madaraka kwa njia yoyote ile iwe kwa kuchaguliwa na raia, kuteuliwa au kwa uroho wa madaraka mlifanikiwa kuiba kura ili kushinda uchaguzi kwa nafasi yoyote ya...
Kanisa katoliki lilianzisha college nyingi za vyuo vikuu kimihemuko tu kutafuta pesa wakati hawana walimu na vifaa. Chuo cha Udaktari kama kile cha Songea, Peramiho na Ifakara ni feki. Havina...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe amesema kuwa serikali itaendelea kuboresha Sheria,kanuni pamoja na kushirikiana na bodi ya filamu kuandaa mikataba bora...
Mstahiki Meya wa manispaa ya kinondoni Benjamin Sita Azindua huduma ya kipesa ya "DCB JIRANI" na "DCB PESA" sambamba na Makumu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Pro. Lucian Msambichaka(kulia) na...
Wadau mkurugenzi ameniteua kwenda kumuwakilisha kwenye mkutano naenda kwa niaba yake.sasa suala inayonipa homa ni kuzungumza mbele ya watu napata shida sana sijazoe yaani naona aibu.je nikipata...