Katibu Tawala Wilaya vs Mkurugenzi Halmashauri

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,104
Reaction score
1,262
Habari wanajukwa,

Nikiwa kama mdau wa kulipia kodi na tozo kadhaa kwa serikali tukufu ya awamu ya tano, ningependa kujuzwa mishahara ya hawa watendaji wetu kwa mwezi wanaweka mfukoni kiasi gani pamoja na marupurupu wanayopata katika utendaji wao unaopelekea kufanya tuishi maisha bora hapa nchini kwetu.

Hii nchi ni tajiri.
 
Pambana na hali yako mkuu.
 
Back
Top Bottom