Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 990
- 1,190
Ni dhahiri kuwa Maisha ya Chuo Kikuu huwa ni maisha ambayo kila mwanafunzi anayeanza mwaka wa kwanza huwa na shauku kubwa kuyafahamu.
Pengine umeuliza na kupata ushauri mbalimbali ila bado una shauku ya kupata uelewa zaidi wa namna ya kuishi chuo Kikuu. Yaani Kielimu, kijamii na Kichumi.
Hivyo basi, tupo hapa kutoa ushauri mbalimbali kwa wadogo zetu ili waweze kufikia malengo yao kwa urahisi. Uliza chochote na Kaka zenu tuliopitia maisha hayo tutawajibu. Karibuni sana.!