kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,547
Habarini wana jamvi...?
Jana katika kipindi cha XXL kuna dada mmoja mtangazaji alikua anaruka live kutoka mkoa wa Iringa, akiongea na kina Adam Mchomvu nimemsikia mimi mwenyewe yule dada akisema
"ukiwa Iringa sikushauri ule mishikaki maana unaweza kula Mbwa, bora ununue kuku tu. Na ndio maana huwa mishikaki ya Iringa inawekwa viungo vingi"
Kauli kama hii hata kama ni utani wa makabila au ni ukweli lakini sidhani kama ni nzuri kwa wafanya biashara na hata wenyewe wa mkoa wa Iringa. Nadhani Clouds FM kwa niaba ya chombo chenu jaribuni kuwaomba radhi wenyeji wenu.
Maana mtu kama ndio mgeni kafika Iringa si anaweza kuamini kuwa hii issue ni kweli ndio maana imetangazwa.
Source: XXL ya clouds fm