No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,834
Basi hizo bangi zenu mvute kwa starehe yenu pekee msituletee mitusi yenu ya wapiga debe humu mnatuharibia hadhi ya jukwaa! Yaani kila Uzi hamchangii mpaka muweke neno pumbavu, mjinga mse.... n.k, kila mtu angekuwa na akili km zenu hili jukwaa lingekuwaje? punguzeni mihemko yenu tuheshimiane humu mbona kuna watu wanaheshimika sana...