Maajabu Ya Uwanja Wa Estadio Hernando Siles(Bolivia)

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,881
Estadio Hernando Siles ni Kiwanja cha mpira kinachopatikana Nchi Ya Bolivia iliyoko Bara la Amerika Kusini,Ukiwa umefunguliwa mwaka 1930 na ukiwa na uwezo wa kubeba watu 42000.

Uwanja huu uko mji wa La Paz na unatumiwa na Timu ya Taifa Ya Bolivia na timu nyingine kama vile Club Bolivar.

Moja ya Maajabu ya Uwanja huu ni Kuwa kati Ya Moja ya Viwanja Ambavyo Viko Juu Sana kutoka Usawa wa Bahari Duniani(Altitude) zikiwa ni 3637M.Na hivyo kuwa na Baridi sana na Hewa yake ikiwa Nzito Sana.

Wachezaji Wa Timu ya Taifa Ya Bolivia wamekua wakitumia Faida hiyo kudhiathibu timu nyingi wanapokutana nazo

Mwaka 1993 Brazil walikutana na kichapo cha Mabao 2 kwa 0 na kuwa kipigo cha kwanza cha Brazil kutoka kwa Bolivia baada ya miaka 40

Na mwaka 2009 Argentina alikutana na kichapo cha Magoli 6 kwa 1 kikiwa na kichapo kikubwa cha Argentina baada ya miaka 60

Pia siku za Karibuni tumeshuhudia baadhi ya wachezaji wakishindwa kuendelea Kucheza baada ya kukutana na Hewa Nzito na hata kufikia wengine kupewa hewa ya Oksijeni kwa njia ya Mashine

Shirikisho la Soka Ulimwenguni(Fifa) Walifikia kukifungia kiwanja hicho ila walishindwa kutokana na Malalamiko kutoka kwa Bolivia.

Huu ndo Uwanja wa Estadio Hernando Siles kiboko cha Wababe wa Soka Duniani.

Karibu Nawe Utujuze Zaidi kuhusu Kiwanja Hiki.
 
mbn vtu ving umeach
 
1478890775576.jpg
 
hicho kiwanja si wakijenge hata huku tz tuwe tunajichapia kina brazil hata friend match tu
 
Kwa hiyo wachezaji wa hapo bolivia hiyo hali ya hewa haiwaathiri?
Wameshaizoea hivyo haiwapi shida.

Ukienda kucheza hapo kama huna mazoezi unaweza kula hata goli kumi

Vizuri kama mkijua mwaenda kucheza hapo mpige kambi nchi za baridi zaidi na zenye asili ya Milima

Mf...Mtu wa Dar atasema Njombe kuna baridi then mtu Njombe atasema Dar kuna joto na atapata shida kidogo
 
Jana Brazil kadraw ndani ya uwanja huu

Infact nliangalia Mechi Bolivia walicheza vizuri ila shukran ziende kwa Kipa wao

Uwanja mgumu sana huu

Argentina anaufahamu vizuri kilichomkuta

Brazil naye kawahi kuacha point hapo
 
argentina ndio timu inayoongoza kutolewa jasho hapo
 
Back
Top Bottom