Fatuma Karume kimya

Fatuma Karume kimya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,141
Reaction score
24,449
Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!

Tujuzane alipo
 
Mabomu ofisini kwao na maneno mengine na matukio yaliyotamalaki ni salamu tosha.

Nauliza tu,mabomu kwenye ofisi za wanasheria,risasi kwa Lissu,maiti za viroba kutamalaki,Ben Saanane,kuuawa kinyama kwa kamanda Mawazo, bunduki kwa Nape etc sio UGAIDI?!!

Ama ugaidi ni masheikh tu waliosekwa korokoroni wale wa UAMSHO?!!!
 
Yote uliyaandika ndio matukio ya kwanza hapa duniani!
 
Hoja ya kijinga, kila anaeenda ni lazima atangazwe? Mara nyingi wanaotangazwa kwamba wameenda ni wanasiasa kwa kuwa wanataka attention ya wananchi. Umewahi kujiuliza mbona hatujaambiwa mkwe wake kwenda kumwona? Kitabala ameenda? TLS ni wawakilishi wapi umewaona? Unaweza kuwa umepost hoja ya kijinga na kama hoja ina mashiko basi umeacha maeneo ya mhimu ambayo yangeweza kushibisha hoja yako
 
Hili ndio kubwa mlilobaki nalo baada ya jamaa kuwanyoosha!
Una maanisha issues za Lissu ,saanane,mawazo,kubenea,kibanda,mabomu ofisi ya mawakili,rushwa ya madiwani ,nape na mengineyo yafananayo no minyosho ya jamaa?
Kuna wakati tutakuhitaji lwa ushahidi!
 
Hoja ya kijinga, kila anaeenda ni lazima atangazwe? Mara nyingi wanaotangazwa kwamba wameenda ni wanasiasa kwa kuwa wanataka attention ya wananchi. Umewahi kujiuliza mbona hatujaambiwa mkwe wake kwenda kumwona? Kitabala ameenda? TLS ni wawakilishi wapi umewaona? Unaweza kuwa umepost hoja ya kijinga na kama hoja ina mashiko basi umeacha maeneo ya mhimu ambayo yangeweza kushibisha hoja yako
Mbna unalia....tatizo una hasira sana
 
Alifikiri kutumika ni dili. Tangu ameshughulikiwa alijua anaishi katika mazingira gani. Siasa wachieni wanasiasa.

Alitaka atumike kazi zake kama ngazi ya kisiasa kwa CHADEMA. Leo amejitambua.
 
Kuna siku fulani akifa sijui atazikwa na nani maana hata mkewe ana ugomvi nae
 
kwani kila MTU anayeenda lazima atokee ktk vyombo vya habari?Rose,Mr.and Mrs.Masesa ambao hadi hivi sasa wapo huko Nairobi ulishawahi kuwaona ktk vyombo vya habari?,je wewe ulienda kumuona? Jambo lisilokuhusu liache kama lilivyo
 
Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!

Tujuzane alipo
We jamaa whatever person you are working for propaganda zako zimezidi uzalendo. Ur destroying ur own country for no reason. Unapenda kumwagilia petrol kwenye moto. Kama tunaamini Mungu Yupo hubiri amani. Unatengeneza notion mbaya sana watu wenye akili wakiunganisha unachoongea picha mbaya sana yatokea. Kizuri bado tunapenda tuendelee na Upendo na amani . please whatever you have in your head evil erase.
 
Back
Top Bottom