Yaani kutoka Trillion 1.2 Jan.2016 hadi Billion 600 mwezi August na Julai 2017_
Nimesoma ujumbe wa Zitto kuhusu taarifa ya uchumi na makusanyo ya mapato ya serikali katika kipindi cha miezi ya...
JUKWAA la Wahariri nchini limetangaza kumfungulia rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika baada ya kutoandika habari zinazomhusu kwa kipindi cha miezi mitatu.
Uamuzi huo wa...
mkuchika,nmekuona unalalama walimu wamekimbia makazini na umewapa onyo warudishe hela za kujikimu haraka sana,sasa embu wambie waliokula hela za EPA warudishe kwanza ndo walimu nao...
Kwa kifupi hivi ni vyuo alivyosoma Daudi Bashite katika ngazi za Diploma na Degree ya Kwanza. Mbegani ni chuo cha uvuvi kiko Bagamoyo na Muccobs kinajulikana ni chuo cha Ushirika kiko Moshi.
Sasa...
Wakuu nimesikia kuna mbongo kauawa south na alikua muuza sigara/fegi mitaani. Hii ni aibu sana kwa taifa, yaani mtu ukimbie nchi uende south kuuza fegi? Halafu unajiita diaspora.
Hawa ndio sababu...
Zifuatazo ni Mboga ambazo kiukweli siku hizi zinauzika na zinaenda kwa kasi sana kuliko ilivyokuwa huko nyuma ambazo kwa haya maeneo ya ' Kitajiri ' nakumbuka hizi mboga zilikuwa zikinunuliwa na...
Nilipotonywa kuwa leo kutakuwa na Press conference ya Jerry Muro, sikutaka kabisa kuikosa. Sikutaka kuikosa kwa sababu sikumjua kabisa kijana mwenzangu huyu pamoja na kuwa anadai Taifa zima...
KIJANA WA KIUME MIAKA 19
ENZI ZA WAHENGA
Ameoa tena ikibidi harusi kabisa na suti juu.
ananyumba kajenga mwenyewe...
sio tegemezi kwa wazazi wake...
anauwezo wa kuendesha familia bila wasiwasi...
KWAKO Waziri Mwigulu Nchemba. Askari wetu/wako 8 wameuliwa na majambazi. Tunashukuru kuwatambua kwa majina yao, vyeo vyao na miili yao. Sasa, tumeambiwa ulikuwa ni vita. Kwamba askari wetu nao...
Naona kuna inatrend sana hapa kilankukicha ni uzi maalumu, uzi maalumu. Mara wa kupeana likes, mara sijui waliosoma na viongozi, Mara walionini nini sijui.
Sasa Huu ni uzi maalumu kwa nyuzi...
Habari za wakati huu. Nataka mjworld
amba katika ukanda wa Africa mashariki makerere university ya Uganda imeendelea kufanya vizuri,
Imeshika nafasi ya 12 kusini mwa jangwa la sahara na 1486...
Je wa kwako yuko hivi?
1. Ubongo - mwanamke anaubongo uliounganika (more connected) kuliko mwanaume. Hii inamfanya mwanamke kuweza kufanya mengi wakati mmoja kuliko mwanaume
2. Mawasiliano -...
salaam wadau..
Hivi mwafahamu kuwa New York city ya marekani ina uchumi mkubwa kuliko nchi nzima ya Russia.
New York`s GDP ni 1.56$ trillion
Russia GDP ni 1.27$ trillion
Miongoni mwa sababu...