Wakuu, kanisa Katoliki lina vyombo vyake vya habari hivo kupitia huko waanzishe mafunzo ya kuielewa lugha ya Kilatini. Nakumbuka wazee wetu walikuwa wakisali kwa lugha hiyo japo maana ya maneno...
Hivi kama mamlaka husika na polisi mnaweza kuwakamata wanaojiuza mtaani na kuwasweka kwenye defender.
Leo hii mtu anakaa uchi kwenye mitandao ya kijamii namna hii anajifunua nguo zake bila aibu...
Nilkuwa nataka kujenga kiwanja ninacho
Nilliuza jf watu wakanisema sana 50m uwezi kujenga hiyo ni banda, lakini si kweli nimejenga na nyumba imekwisha vyumba 4 na master 2 kwa 30m
Ukitaka...
JUMLA ya dola za Marekani 29,320 (Sh. milioni 64.447) zimechangwa na watu wa nje ya nchi kusaidia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) huku Yasinta Massawe akiongoza kwa...
Ni muda mrefu sasa nimefanya utafiti na kugundua kuwa walimu wa sekondari ya kwiro hawana sifa za kufundisha kwani wengi hawajui kufundisha hasa wa masomo ya science na uchumi. Tunaomba serikali...
Mwenye uelewa kutoka history anieleweshe kama wazungu wana makabila kama Tanzania tulivyo na makabila 120 or so! Na kama siyo, kwa nini hii imetokea Africa na siyo Ulaya/ Marekani/ Asia???
Bodaboda imekuwa ni usafiri mkubwa kwa watu wengi jijini Dar es Salaam na mikoa yote nchini. Usafiri huu umekuwa ukisaidia watu wengi kufika maeneo husika kwa haraka.
Pamoja na usafiri huu...
Wanawake wa kijiji cha Lumecha wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma wameiomba Serikali kuweka ratiba ya kudumu ya utoaji huduma za uzazi wa mpango bure kwenye vijiji vya pembezoni ili kuwasaidia kupunguza...
Wana JF as matter of concern, nafikiri kile kilichoonekana Ikulu leo wakati rais alipomaliza kutangaza baraza lake la Mawaziri ni kitendo cha AIBU.
Rais alipomaliza aliomba kama kulikuwa na mtu...
Wakuu nimepita kambi ya polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) hapa Musoma mjini nimewakuta baadhi ya askari wanakunywa pombe muda wa kazi. Yani meza imejaa bia
Sasa najiuliza hivi hizi sheria...
Baadhi ya wanawake ambao wamelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiwauguza watoto wao baada ya kubainika wana matatizo ya saratani, wamelalamika kukimbiwa na waume zao.
Wanawake hao...
Rais John Magufuli anawaapisha mawaziri na naibu mawaziri aliowateua miongoni mwa hao akiwamo mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola anayekuwa naibu waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na...
Mlipuko mkubwa wa moto uliotokea Ghana unaweza kutokea nchi yoyote isiyokuwa na utaratibu mzuri wa kuhakikisha vituo vya mafuta vina vifaa na taratibu za kuzuia majanga ya moto. Je unadhani vituo...
Habari wana jf
Hatuna budi kumshukuru muumba kwa yote yaliyopita, yaliyopo na yajoyo.
Nizaidi ya miaka 50 sasa tangu nchiyetu hii pendwa ilipo twaa Uhuru wake ksmili. Uhuru ambao unatoa...
Logically tu na katika Critical Thinking hivi hili Shirika lisilo la Kiserikali linalofanya advocacy kwa mauaji ya Ndugu zetu wenye Ulemavu wa Ngozi ( Albino ) la under the same sun lililo chini...
Wanabodi.
Kama nilivyoeleza hapo juu, sisi Wakatoliki idadi yetu inajulikana nchi nzima, na huwa tunahesabiwa kuanzia kwenye jumuiya ndogo ndogo, kigangoni, parokiani na hadi jimboni kote huko...
Chama cha Wataalam wa Urembo na Vipodozi Tanzania (CWUVT) wakutana Jijini Dar es salam kwa lengo la kuwakutanisha pamoja wataalamu wa ngozi, wataalamu wa urembo, wataalam wa saluni, wasambazaji...
Mamlaka ya Maji dodoma (duwasa) mbona munatutesa sana sisi wakazi jirani ya makazi ya waziri mkuu huku dodoma? Yani sisi kila siku ni watu wa kuwapigia simu ili mtupatie huduma ya maji huku kana...
Wengi wetu timezoea kuona Magofu na nyumba zilizobomoka katika matukio kama tetemeko la ardhi, vita vya muda mrefu, mashambulizi ya mabomu n.k. ambayo kwa ujumla huwa yanatia simanzi.
Sasahivi...