Ni nani wa kulaumiwa katika kusuasua kwa maendeleo baadhi ya maeneo hususani Vijijini

mansolata

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
503
317
Habari wana jf


Hatuna budi kumshukuru muumba kwa yote yaliyopita, yaliyopo na yajoyo.

Nizaidi ya miaka 50 sasa tangu nchiyetu hii pendwa ilipo twaa Uhuru wake ksmili. Uhuru ambao unatoa uhalali kwa Watanzania wenyewe kujipangia msuala mbalimbali kwa lengo la kusukuma gurudumu.

Pamoja na umri mrefu wa Uhuru tulio nao kuna baadhi ya maeneo hususani vijijini hali ni mbaya sana. Utashangaa kukuta watu wanalialia:-

-hatuna barabara
-hatuna maji
-madarasa hayatoshi
-hatuna walimu
-mawasiliano kapande mti ulee!
-hatuna Umeme

Utafikiri tupo kwenye harakati za kutwaa Uhuru muongo ujao

Hebu tujiulize na kutafakari:-
..tunakosea wapi?
..kwanini?
..tumelogewa wapi?
..tufanyenini?


Kwa walio baatika kutazama taarifa ya habari ya Channel ten saa 12 hasubuhi ya leo watauelewa zaidi Uzi huu.

Karibuni
 
Mkuu tutakufikisha huko unapopataka, Awamu hii tumekaza..hatukuja kutafta warembo
 
Back
Top Bottom